Elections 2010 Lisa M Rockerffeller urge Tanzanians to reject Kikwete a 2nd Term

Status
Not open for further replies.
Wakoloni mamboleo hatuwataki na wala hatutawapa nafasi kutuchagulia viongozi. Sisi tuna akili zetu tunapima mambo na kila kauli ya mtu, ki msingi viongozi wetu tutawachagua wenyewe si kwa mashinikizo

Na wale wakoloni wenye ngozi kama yetu wanaoendelea kututawala vp? Ama kweli tusilaumu mtu tukiwa na hali mbovu za maisha.
 
Yaani huyu dada Lisa i realy felt her so much

ameongea kwa hasira akiwa kama mtu mwenye kuitakia mema nchi yetu, sema kuna wachache ambao kutokana na uzito wa akili yao wanaona kama anaitukana Tanzania. Just imagine how mcuh these guy works os hard to earn their money yet they give it for free halafu mtu anakuletea upuuzi aua anaongea pumba kama Kikwete who just thinks the country will be enriched by beging money from Marekani au Ulaya...!

Lisa please join Jamii forum and speak to us...!
 
William, nadhani hata na wewe umefulia kisiasa kama mzee. Unamtetea Kikwete? bwana heshima zangu kwako imekwisheneeeeeey

- Ninatetea taifa langu kutoingiliwa na Wazungu tuliowafukuza bila kupenda, kama for that heshima yngu kwako inashuka so be it,
ila wazungu watuachie taifa letu maana sasa tuko huru kuamua mambo yetu, maana ni hao hao ndio waliotuletea hizi political confusions in the first place!

William.
 
Kaka naandika kukujibu... Huku natetemeka... mdogo wako Ipi angekuwepo angekuwa amekwenda upinzani... Tena CHADEMA!!! CREDIBILITY YAKO IMESHUKA KAMA ... JCM...

- Credibility yangu imeshuka kwa kumtaka mzungu anayetoka kwenye familia ya wizi, kutoingilia mambo yetu na kujali ya taifa lake, then ni afadhali niwe sina credibility kabisa kuliko kukubali kuamuliwa na huyu dada mzungu kutoka familia ya wizi wa ajabu nani ananifaa kuwa Rais wangu huku Africa, unajua utumwa uko wa aina nyingi sana ndugu yangu!

William!
 
- Ninatetea taifa langu kutoingiliwa na Wazungu tuliowafukuza bila kupenda, kama for that heshima yngu kwako inashuka so be it,
ila wazungu watuachie taifa letu maana sasa tuko huru kuamua mambo yetu, maana ni hao hao ndio waliotuletea hizi political confusions in the first place!

William.

Bwana Malecela wewe ni mtu nakuheshimu sana katika hoja mbali mbali za kiuchumi na ufisadi tunazozijadili humu jamvini lakini nikuulize kuna kosa gani kwa mzungu kusema wewe kama ni tax payer usikubali hela yako ikaenda kuhudumia familia fulani ya kiteule? Kutushauri kuwa tuwe tunawaangalia yakinifu watu wanaokula rasilimali zetu. Au wewe unataka wale wazungu ambao hawakuambia kitu na kukufagilia kila siku kuwa unafanya vizuri just kwakuwa wana interest zao nchini kwako? Hebu tube hoja zenye akili nikubaliane nawewe otherwise mkuu naona naanza kutofautiana na wewe!!!
 
kuamua mambo yako yepi tena, raisi wako unayemtaka, kila kitu anachokiongea anaseama aatapewa na wazungu, alafu wewe huwataki
rudi nyumbani mkuu tuje tufanye mambo yetu wenyewe
 
Ujumbe umefika... Mugabe ana akili lakini kikwere zero kabisa Bwa ha ha ha ha
 
- Credibility yangu imeshuka kwa kumtaka mzungu anayetoka kwenye familia ya wizi, kutoingilia mambo yetu na kujali ya taifa lake, then ni afadhali niwe sina credibility kabisa kuliko kukubali kuamuliwa na huyu dada mzungu kutoka familia ya wizi wa ajabu nani ananifaa kuwa Rais wangu huku Africa, unajua utumwa uko wa aina nyingi sana ndugu yangu!

William!

Hoja zake umezisoma lakini? Hayo ya familia yake au ni mzungu sioni uzito wake.
 
- Ninatetea taifa langu kutoingiliwa na Wazungu tuliowafukuza bila kupenda, kama for that heshima yngu kwako inashuka so be it,
ila wazungu watuachie taifa letu maana sasa tuko huru kuamua mambo yetu, maana ni hao hao ndio waliotuletea hizi political confusions in the first place!

William.

Acha Unafiki wewe, Mmewafukuza huku Mnamiliki Passport zao, Shame on you
 
Bwana Malecela wewe ni mtu nakuheshimu sana katika hoja mbali mbali za kiuchumi na ufisadi tunazozijadili humu jamvini lakini nikuulize kuna kosa gani kwa mzungu kusema wewe kama ni tax payer usikubali hela yako ikaenda kuhudumia familia fulani ya kiteule? Kutushauri kuwa tuwe tunawaangalia yakinifu watu wanaokula rasilimali zetu. Au wewe unataka wale wazungu ambao hawakuambia kitu na kukufagilia kila siku kuwa unafanya vizuri just kwakuwa wana interest zao nchini kwako? Hebu tube hoja zenye akili nikubaliane nawewe otherwise mkuu naona naanza kutofautiana na wewe!!!

- Unasema huoni kosa dada mzungu kutoka Marekani kutufundisha Wa-Tanzania nani anatufaa kuwa Rais wetu? Unasema huoni kosa? Binafsi hapa hapa tu hoja imeanza na kuisha, Mzungu ajali mambo ya taifa lake period ya taifa langu hayamhusu!

- Ndugu yangu unafikiri Chief Mkwawa alifia nini kule Kalenga Iringa? Hujui kuwa alikuwa anakataa haya haya ya huyu dada wa kizungu ya kutuamulia mambo yetu Africa! Ni suala la kufikiri japo kidogo tu badala ya kuwa excited na siasa za desparation!

William!
 
Wakoloni mamboleo hatuwataki na wala hatutawapa nafasi kutuchagulia viongozi. Sisi tuna akili zetu tunapima mambo na kila kauli ya mtu, ki msingi viongozi wetu tutawachagua wenyewe si kwa mashinikizo

Unajibu hoja au hutaki? Hoja zinajibiwa kwa hoja sio bla bla!

Kila siku tunawaambia Kikwete hata IQ yake ni ndogo sana mnaona sie waongo. Huyo dada kaongea nae ana kwa ana na anashangaa watu wanapresident bomu kiasi hiki.

Nasikia aibu sana sio siri ingawa sikuhusika kumpigia kura 2005.

Sasa akina Obama wanamuonaje, halafu wazungu wanaambiana ubomu wake, ila yeye asivyokuwa na soni kila siku kwa wazungu. Anajiona bonge la mjanja!!!
 
kuna watu wa ajabu sana mkuu,mie ngoja nirudi kwenye jukwaa la michezo manake nimeingia huku dakika tano tu nimeshikwa na hasira ghafla.

Huyo Malecela rais wake ni Obama au Kikwete? Hawa watu tayari wameshafaidika na Nafasi za baba zao sasa wakiona kuna watu wanakomaa nao wanaona kama maslahi yao yanaingiliwa, wameshazoea kuponda Kodi zetu tu
 
kuna watu wa ajabu sana mkuu,mie ngoja nirudi kwenye jukwaa la michezo manake nimeingia huku dakika tano tu nimeshikwa na hasira ghafla.
Mkulu, mie siondoki hapa kwene siasa..tutabanana hapahapa na hawa masultan, koo, vimada na masahiba zao..hakuna kuwaachia.
 
kuamua mambo yako yepi tena, raisi wako unayemtaka, kila kitu anachokiongea anaseama aatapewa na wazungu, alafu wewe huwataki
rudi nyumbani mkuu tuje tufanye mambo yetu wenyewe

- Wazungu wanaturudishia hela zetu walizotuibia na wanazoendelea kutuibia kila siku ya Mungu, infact nakumbuka hesabu ya mwisho ilikuwa Wazungu wanatuibia Dola $ 11 Billion kwa mwaka na kuturudishia Dola $ 3 Billion kwa mwaka naamini ilikuwa ni hesabu ya in the 90s, location yako na yangu haina anything to do na mawazo yako na yangu. Be blessed bro!

William.
 
Nimesoma na kufuatilia kwa karibu majibishano kati ya Lisa na Ernesto Sheka. Kwanza napenda nimshukuru sana ndugu Ernesto. Amembana vizuri sana huyu dada. Kwanz kuweka rekodi sahihi Rais Kikwete hakuwahi kufika DC 2005 akiwa Rais. Safari ya kwanza ya Rais ilikuwa Kampala nayo ilikuwa Feb 2006. Kwa kuanzia tu huyu dada anadanganya kuwa alionana na Kikwete akiwa Rais 2005. Pili, kama alivyosema Ndugu Malecela William hapo juu hawa akina Rockfeller histori ya utajiri wao marekani ni wa wizi na rushwa kubwa hilo halipingiki. Tatu, nina hakika hasira zake kwa serikali ya JK, zinatokana na kushindwa kupata fadhila au msamaha fulani fulani katika kuhangaika kwake Tanzania. Wao kama NGO kuna malipo fulani wanalazima kulipa ili kuendelea na shughuli zao. Sasa wao walitaka msamaha ili huku wao pia hutengeneza hela kwa kazi zao hizo hizo. Ndugu zangu hasikudanye mtu, hawa watu wa international NGOs ni binadamu kama wengine na wana mahitaji kama mishahara ili kukidhi mahitaji ya familia zao. Hakuna NGO huja Tanzani au kwingineko bila ya matarajio fulani fulanina wao hutka kupata returns zao. Samahani sana ila huyu dada namuona kama mtu aliyetaka kitu fulani akashindwa kukipata na alitaka kumtumia Rais ili apate mteremko huo lakni akagonga mwamba. NDIO CHANZO CHA HASIRA ZAKE.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom