BongoTz
JF-Expert Member
- Nov 3, 2006
- 272
- 3
Ish, angalia usivyojua unachokisema. Hivi huyu Rais wako alipokuwa anajibizana na Hubert Sauper [mzungu], aliyeteng'eneza documentary ya Darwin's Nightmare, mwaka 2006, alikuwa na mawazo ya kitumwa?- Unasema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amjibu huyu mzungu? Kwa sababu ni mzungu ndio maana unalilia ajibiwe huyu kabla ya wewe mbongo kujibiwa? Unaona sasa haya mawazo ya kitumwa! ha! ha! ah! ah!
William.