Elections 2010 Lisa M Rockerffeller urge Tanzanians to reject Kikwete a 2nd Term

Status
Not open for further replies.

- Wazungu wanaturudishia hela zetu walizotuibia na wanazoendelea kutuibia kila siku ya Mungu, infact nakumbuka hesabu ya mwisho ilikuwa Wazungu wanatuibia Dola $ 11 Billion kwa mwaka na kuturudishia Dola $ 3 Billion kwa mwaka naamini ilikuwa ni hesabu ya in the 90s, location yako na yangu haina anything to do na mawazo yako na yangu. Be blessed bro!

William.

Lisa M Rockefeller T. So if your leaders let people into the country to mine your gold and a throw away price, that is not a question for me to answer, it is you and your leaders to answer... what did your leaders get in return for letting barrick into Tanzania, and what did you get a common man apart from the craters? I am sure you are a indian, do you pay taxes in Tanzania@Thakur?See More
43 minutes ago
 
- Unasema huoni kosa dada mzungu kutoka Marekani kutufundisha Wa-Tanzania nani anatufaa kuwa Rais wetu? Unasema huoni kosa? Binafsi hapa hapa tu hoja imeanza na kuisha, Mzungu ajali mambo ya taifa lake period ya taifa langu hayamhusu!

- Ndugu yangu unafikiri Chief Mkwawa alifia nini kule Kalenga Iringa? Hujui kuwa alikuwa anakataa haya haya ya huyu dada wa kizungu ya kutuamulia mambo yetu Africa! Ni suala la kufikiri japo kidogo tu badala ya kuwa excited na siasa za desparation!

William!

Kaka tukitokea katika hoja yako naomba nikujibu kama ifuatavyo:
- Americans particularly politicians they are after their country interests (patriotism) but sikubaliani nawe kwa individuals americans ambao they will like to see maisha mazuri mahali. Mfano nakupa Bill Gates anamwaga kila siku mabilioni Tanzania katika project za malaria na ukimwi. Hivyo sikubaliani na mtazamo wako kuwa mzungu anapokosoa utawala wetu. Hiyo ni uzalendo wa hali ya juu pengine kutushinda sie ngozi nyeusi ambao uzalendo wetu wengi ni after pesa (wakenya wanasema Chapaa).

- Kuhusu mkwawa aliuwawa usitake kugusa machungu ya watu for sympathetic support mbona wakati wa mkoloni kulikuwa na matarishi weusi kama sie waliokuwa kazi yao kwenda kupeleka siri za waafrika kwa wazungu? Binafsi naona sawa mzungu kutukosoa kwasababu by the way wao ndio wanatupa pesa za kuishi hapa mjini (for your information 40% of our national budget comes from donors who happens to be wazungu). Hivyo wana haki kama sie kutukosoa wanapoona kodi zao zinaenda sipo.

Lete hoja nyengine kaka!!!
 
- Ni afadhali nisikilize hoja za Mtikila au Dr. Slaa, kuliko huyo Mkoloni ajali mambo ya taifa lake ya Tanzania atuachie wenyewe!

William!

Huwezi kuuzungumzia Ukoloni wa Lisa wakati kibindoni una Green Card ya Nchi yake
 
Acha Unafiki wewe, Mmewafukuza huku Mnamiliki Passport zao, Shame on you

- Similiki passport ya taifa lolote bro zaidi ya taifa langu Tanzania, samahanai sana personal hazina nafasi hapa tunajadili ishus muhimu za taifa hasa dakika hizi za mwisho kabla ya uchaguzi, tusiharibiwe amani yetu na hawa wakoloni.

William.
 
Nimesoma na kufuatilia kwa karibu majibishano kati ya Lisa na Ernesto Sheka. Kwanza napenda nimshukuru sana ndugu Ernesto. Amembana vizuri sana huyu dada. Kwanz kuweka rekodi sahihi Rais Kikwete hakuwahi kufika DC 2005 akiwa Rais. Safari ya kwanza ya Rais ilikuwa Kampala nayo ilikuwa Feb 2006. Kwa kuanzia tu huyu dada anadanganya kuwa alionana na Kikwete akiwa Rais 2005. Pili, kama alivyosema Ndugu Malecela William hapo juu hawa akina Rockfeller histori ya utajiri wao marekani ni wa wizi na rushwa kubwa hilo halipingiki. Tatu, nina hakika hasira zake kwa serikali ya JK, zinatokana na kushindwa kupata fadhila au msamaha fulani fulani katika kuhangaika kwake Tanzania. Wao kama NGO kuna malipo fulani wanalazima kulipa ili kuendelea na shughuli zao. Sasa wao walitaka msamaha ili huku wao pia hutengeneza hela kwa kazi zao hizo hizo. Ndugu zangu hasikudanye mtu, hawa watu wa international NGOs ni binadamu kama wengine na wana mahitaji kama mishahara ili kukidhi mahitaji ya familia zao. Hakuna NGO huja Tanzani au kwingineko bila ya matarajio fulani fulanina wao hutka kupata returns zao. Samahani sana ila huyu dada namuona kama mtu aliyetaka kitu fulani akashindwa kukipata na alitaka kumtumia Rais ili apate mteremko huo lakni akagonga mwamba. NDIO CHANZO CHA HASIRA ZAKE.

CCM bana na wapambe wake kwa conspiracy theory tu mwisho!!! Kila la kheri mkuu lakini jiulize anayoyasema ni kweli au si kweli?
 
- Ninatetea taifa langu kutoingiliwa na Wazungu tuliowafukuza bila kupenda, kama for that heshima yngu kwako inashuka so be it,
ila wazungu watuachie taifa letu maana sasa tuko huru kuamua mambo yetu, maana ni hao hao ndio waliotuletea hizi political confusions in the first place!

William.
Huu ni upumbavu sana kutetea kunyonywa nchi yetu eti tuna haki ya kuamua kugawa vyetu. Hoja ni mufilisi sana na ndizo zimetufikisha hapa. Tunakaribisha mawazo ya kujenga yawe ya kutoka ndani au nje. Nampongeza sana Lisa kumpa vipande vyake Kikwete na wale wote ambao wanachekelea nchi yetu kunyonywa kama mazuzu.
 
- Wazungu wanaturudishia hela zetu walizotuibia na wanazoendelea kutuibia kila siku ya Mungu, infact nakumbuka hesabu ya mwisho ilikuwa Wazungu wanatuibia Dola $ 11 Billion kwa mwaka na kuturudishia Dola $ 3 Billion kwa mwaka naamini ilikuwa ni hesabu ya in the 90s, location yako na yangu haina anything to do na mawazo yako na yangu. Be blessed bro!

William.

'Wazungu' wasingeweza kutuibia bila ya ushirikiano wa magavana na machifu wao akina JK , Sani Abacha et al.
 
Kaka tukitokea katika hoja yako naomba nikujibu kama ifuatavyo:
- Americans particularly politicians they are after their country interests (patriotism) but sikubaliani nawe kwa individuals americans ambao they will like to see maisha mazuri mahali. Mfano nakupa Bill Gates anamwaga kila siku mabilioni Tanzania katika project za malaria na ukimwi. Hivyo sikubaliani na mtazamo wako kuwa mzungu anapokosoa utawala wetu. Hiyo ni uzalendo wa hali ya juu pengine kutushinda sie ngozi nyeusi ambao uzalendo wetu wengi ni after pesa (wakenya wanasema Chapaa).

- Kuhusu mkwawa aliuwawa usitake kugusa machungu ya watu for sympathetic support mbona wakati wa mkoloni kulikuwa na matarishi weusi kama sie waliokuwa kazi yao kwenda kupeleka siri za waafrika kwa wazungu? Binafsi naona sawa mzungu kutukosoa kwasababu by the way wao ndio wanatupa pesa za kuishi hapa mjini (for your information 40% of our national budget comes from donors who happens to be wazungu). Hivyo wana haki kama sie kutukosoa wanapoona kodi zao zinaenda sipo.

Lete hoja nyengine kaka!!!

Mdondoaji hao Ndivyo walivyo

Wazungu Wakitusifia, Tunapiga hadi Simu kwenye Kampeni kuwakoga wapiga Kura ila Wazungu hao hao wakituchamba tunawaita kila aina ya majina Mabaya

Heri Mzungu akutukanaye na kukuonesha Udhaifu wako kuliko Mzungu anayekusifia ili akunyonye
 
- Hao wazungu wangetuachia mambo yetu ya ndani tutayaamua wenyewe, wao wazungu mabaya waliyotufanyia Africa sio madogo eti, huyu mdada anasahau kwamba ni wizi wa familia yake kwa taifa lake ndio uliopelekea kuanzishwa kwa sheria ya Standard Act, ili kuzuia monopoly za wizi wa familia yake kwa wananchi wa US, sasa kama yeye ni mkweli angeanza kuwarudishia serikali ya US na wananchi wake hela walizoiba huko mpaka kuanzishiwa sheria.

- Africa bwana tunakuaga so desparate na ushindi wa uongozi kwamba hata huwa hatuulizi maswali magumu, halafu baadaye ndio tutakuja kuanza kutafutana uchawi, huyu dada hana moral authority yoyote ya kutufundisha wa-Tanzania kuhusu uzuri na ubaya wa viongozi wetu, kwa sababu tunayajua vizuri matatizo yetu, yeye na familia yake warudishe zile hela zote walizowabia wananchi wenzao huko US through biashara zao za mafuta na ngano!

Ahsanteni.

William.

Na lini utawaambia mafisadi wa thithiem warudishe pesa nyingi walizotuibia Watanzania? au huzijui? :peace::peace::peace:
 
Huyo Malecela rais wake ni Obama au Kikwete? Hawa watu tayari wameshafaidika na Nafasi za baba zao sasa wakiona kuna watu wanakomaa nao wanaona kama maslahi yao yanaingiliwa, wameshazoea kuponda Kodi zetu tu

- Rais wangu ni Dr. Kikwete, sina tatizo siasa za taifa langu kukomaliwa na kina Slaa, Mtikila na wengineo lakini sitaki siasa zangu kuingiliwa na mzungu mkoloni, hapa tunajadili taifa sio binafsi maana hazina nafasi hapa kwenye uwanuja wa Great Thinkers!

William.
 
- Similiki passport ya taifa lolote bro zaidi ya taifa langu Tanzania, samahanai sana personal hazina nafasi hapa tunajadili ishus muhimu za taifa hasa dakika hizi za mwisho kabla ya uchaguzi, tusiharibiwe amani yetu na hawa wakoloni.

William.

Huwezi kutenganisha Hoja na mtu ndio maana na wewe unakwenda personal na Lisa, Ungekuwa unapenda Kujadili Hoja Ungejadili Mantiki ya Kile Lisa alichokizungumza
 
- Similiki passport ya taifa lolote bro zaidi ya taifa langu Tanzania, samahanai sana personal hazina nafasi hapa tunajadili ishus muhimu za taifa hasa dakika hizi za mwisho kabla ya uchaguzi, tusiharibiwe amani yetu na hawa wakoloni.

William.
Mkulu 'Personal' unaruhusiwa wewe tu au?

Mbona umemhusisha Lisa na 'uwizi' wa Rocafela et c bila kujadili hoja zake?
 
- Rais wangu ni Dr. Kikwete, sina tatizo siasa za taifa langu kukomaliwa na kina Slaa, Mtikila na wengineo lakini sitaki siasa zangu kuingiliwa na mzungu mkoloni, hapa tunajadili taifa sio binafsi maana hazina nafasi hapa kwenye uwanuja wa Great Thinkers!

William.

Ahaa, Wakija akina Bush wakiwasifia Kilemba cha Ukoka Mnakenua Meno lakini akina Lisa wakiwachamba kwa Ufisadi wanakuwa Wakoloni
 
- Ninatetea taifa langu kutoingiliwa na Wazungu tuliowafukuza bila kupenda, kama for that heshima yngu kwako inashuka so be it,
ila wazungu watuachie taifa letu maana sasa tuko huru kuamua mambo yetu, maana ni hao hao ndio waliotuletea hizi political confusions in the first place!

William.

Waambie basi na mafisadi waliojaa thithiem ambao ndiyo chanzo cha umaskini mkubwa na kukosa kwa maendeleo katika nchi yetu watuachie nchi yetu badala ya kuendelea kuiba mabilioni ya shilingi kila awamu kuanzia awamu ya pili
 
Ninaunga mkono hoja za Lisa na ametuonyesha kile ambacho Kikwete huwa anafanya anapokuja huku nje. Ni mapenzi yake kwa nchi yetu kutaka tuache kunyonywa na kuongozwa na watu wasiostahili kutuongoza. Ninapinga wale wote wanaojifanya wazalendo huku wao ndio ambao kwa nasaba zao na uwezo mdogo wa wazazi wao ambao walikuwa viongozi wetu ndio waliosaini mikataba ya shanga kama ile ya Chifu Mangungo uko Usagara na Lewanika huko Zambia. Nitamtetea huyu dada kwa nguvu zangu zote na hawa ndio watu wa kushirikiana nao kupambana na viongozi uchwara wa nchi zetu pamoja na Benki ya Dunia na IMF.
 
- Credibility yangu imeshuka kwa kumtaka mzungu anayetoka kwenye familia ya wizi, kutoingilia mambo yetu na kujali ya taifa lake, then ni afadhali niwe sina credibility kabisa kuliko kukubali kuamuliwa na huyu dada mzungu kutoka familia ya wizi wa ajabu nani ananifaa kuwa Rais wangu huku Africa, unajua utumwa uko wa aina nyingi sana ndugu yangu!

William!

Anachokiongea huyo dada ni confirmation ya kile tunachokiongea JF kila siku, nashangaa unamshambulia yeye badala ya kuona kumbe wengi blacks and whites wako fed up na Kikwete na CCM yake.

Unachofanya ni kukimbia hoja in the name of mkoloni. Humanity has no borders wala skin color mkuu na ndio maana dunia haikuwaachia Haiti wahangaike kivyao.

Watu wana uchungu na humanity sio wewe unaridhika na status quo eti kwa sababu wewe na familia yako mnanufaika. Selfishness inakusumbua ndugu yangu.
 
- Ni afadhali nisikilize hoja za Mtikila au Dr. Slaa, kuliko huyo Mkoloni ajali mambo ya taifa lake ya Tanzania atuachie wenyewe!

William!

Mkuu umesema vizuri. sometime kina mtikila lipumba na slaa wana hoja nzuri ila wale wanaotakiwa kusizikiliza na kuzifanyia kazi hawazisikilizi. Na nyie mlio karibu na Desicon Makers mnaogopa kutoa new ideas, challenge na kuwa critical hata pale mnapojua mko sahihi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom