Hilo swali aliulizwa lini, wapi na nani alimuuliza? Isije kuwa ulikuwa ushapiga ulanzi baada ya kuvimbiwa magimbi halafu ukawa wewe pekee yako unaiona hiyo interview.
Kweli magwanda mmefilisika. Yaani yule DJ aliyetolewa show na Hamad Rashid kwenye mdahalo ndiyo ukamfananishe na Prof. Lipumba? Sasa huo kama siyo uwendawazimu basi ni uhayawani tena!
Busara ya mtu haipimwi kwa wingi wa matusi bali lugha yenye staha. Alikuwa kwenye kipindi kilichokuwa kikirushwa na ITV kwa jina KITIMOTO na aliyekuwa akikiendesha wakati huo alikuwa ni Pasco Mayala na Betty Mkawasa ambaye leo hii ni mkuu wa Wilaya nafikiri ya Bahi. Wanaweza kutusaidia kama mimi nimetunga na kwanini nisitunge mengine nitunge tu hili? Na lingine kama utabisha basi mimi siwezi kutatua tatizo lako. Lipumba alikuwa miongoni mwa viongozi wa vyama vya siasa waliomsifu JK kuwapa kazi kampuni ya auditing ya Ernst and Young kufanya uchunguzi wa wizi wa EPA. Alisifu uamuzi huo na kusahau kuwa hiyi ilikuwa ni kupoteza pesa za walipa kodi kwani haukuwa muharobaini wa wizi na ufujaji wa mali ya umma wala wahusika wasingeguswa maana mtu hawezi kukata mkono wake unaomlisha na kumfikisha hapo alipo. professa anyeshindwa kuona mambo katika uhalisia wake akwa ame succumb kwenye shallow argument kama wale ambao hawajaona kuta za madarasa usomi wake unatia shaka na ndio maana anazidiwa na yule ambaye wewe unadai ni wendawazimu kuwalingalisha . What a distigusting dirty, vulgar language that must not be employed by civilized but ratheer barbaric people. Sijui wewe tukuweke wapi kati ya haya makundi?