Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 18,200
- 27,252
Nimeona hivi karibuni watu wakimlinganisha mbowe na lipumba, mengi yamezungumzwa lakini Mimi nitasaidia kuwajulisha na kuwaacha muamue nani bora.
Elimu zao tuweke pembeni tujikite zaidi kwenye siasa, maana kielimu kuwalingaisha hawa ni zaidi ya kufuru tu.
Mbowe sometimes hupigania wananchi wengi, lipumba huwa kigeugeu. Kwenye hili mbowe anapata credit kuliko lipumba
Mbowe ni mjisiriasiasa, lipumba sio mjasiriasiasa. Pesa kwanza alafu ndio siasa, lipumba yeye siasa kwanza alafu ndio pesa. Wote kwenye hili wapo sawa
Mbowe kwenye siasa hutangulia yeye kwanza alafu huburuza chama chote. Lipumba huwa na kundi dogo alafu ndio huburuza chama chote. Hii approach ndio ilipelekea kuitwa sultan.
Mbowe huwa na misimamo mikali ikiwa jambo hilo halihusu pesa, lipumba huwa na misimamo mikali ikiwa jambo hilo halihusu chama. Niliona sehemu wengi wakisema lipumba ni mwanasiasa mkongwe alafu maskini.
Mbowe ukipingana nae chamani utafukuzwa na kuitwa msaliti, Lipumba ni mvumilivu hata ukipingana nae anavumilia labda wewe mwenyewe uamaue kuondoka chamani.
Mbowe hana haiba/sura ya kushika dola, lipumba Amewahi kuwa na haiba/sura ya kushika dola. Ndio maana inakua rahisi mgeni kuingia chadema na kupata nafasi ya kugombea uraisi mfano Lowassa.
Mbowe amekijenga chama chake kwa misingi ya ukanda, lipumba kwa misingi mingine(sitataja ila mnajua). Hapa wote wapo sawa.
Kwa points hizi nilizoeleza kuna vitu vingi Lipumba amemzidi mbowe kisiasa, mbowe amemzidi lipumba sehemu moja tu ambayo ni kiuchumi.