Elections 2010 Lipumba katika kampeni mjini Bukoba (picha)

Duh yaani CUF Bukoba mjini imefikia hivi wakati ndio ilikuwa ngome yao Bara!
Ama kweli hawakusoma alama za nyakati.....
Walifanya makosa ya kimahesabu Mkandara. Hapa ndipo palikuwa kama Pemba yao ya bara. Ukiona hali iko hivi nambie strong hold yao iko wapi bara? Maana hata huko kusini hajawahi kupata mafanikio ya kujivunia!
 
Weka zako ambazo hazijachakachuliwa.

Mimi huwa naweka vitu live. Sema nyie endeleeni kupata viti Pemba tu! na safari hii twaja kuchukua baadhi kwa kuanzia
:A S wink:

Kuota ruhsan ndugu...na hilo jimbo la Bukoba naona kama linanukia kwa wapinzani wenu...mark my words!
 
Nimekuamini, ww mkali unaongea kwa data, if you compare those 2 pics, hawana cha kusema, Dr slaa mbona kasha kuwa RAISIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII wa 5, is matter of time, DR for PResidaaaa, Question. JK why ur country is in deep poverty while it seems you have such a many +ve beatiful [not best] ideas Answer.. mmmmhhhh... i don't know why. Uuuuuuuuuuuwiiiiiiiiiii where in spain, Excellencies wakaguna kwa kizungu ooohh oooohhh my Godness........!!!!!!!!!!????????????? then applause, thank you Mr President. AIBUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUbuuuuuuuuuuuuu, pumbaaaaaaaa, pupupuuuuuuuuuuu




Kenge, siku Dr Slaa alipokuja kutafuta wadhamini watu waliojitokeza hapo hapo uwanjani ni kama hivi.

attachment.php


Kwa wale wanaotaka kujua ramani ya uwanja huo angalia katika picha hii ulipo ukuta ulio na matangazo ya Cocacola kati kati ya uwanja kisha nenda kaangalie na kule kwenye picha ya Lipumba. Utagundua hana mtu hapo Bukoba. Waswahili wao usema, amefulia.
 
kwa taarifa yenu hata mikutano ya JEIKEI ccm wasingewalipa wahudhuriaji ingekuwa na nyomi chini ya hapo.
 
Walifanya makosa ya kimahesabu Mkandara. Hapa ndipo palikuwa kama Pemba yao ya bara. Ukiona hali iko hivi nambie strong hold yao iko wapi bara? Maana hata huko kusini hajawahi kupata mafanikio ya kujivunia!

Uchaguzi ukiwa Huru na Haki ndio utajua ..stronghold iko wapi..otherwise Msilie na Kuibiwa kura.
 
Sana sana Lipumba na CUF watakachofanikiwa ni kumnyang'anya Jk kura na hivyo kumrahisishia Dr. Slaa safari ya kwenda Ikulu
 
May be lakini pia inaweza kuwa faida kwa Slaa (Lindi, Mtwara, Dar na Tanga)
Hizi kura ni faida kwa upinzani labda kwa wale wasiojua hesabu wanadhani ni hasara kwa wapinzani.
Kwa kuunga mkono hoja yako ni kwamba hii ni hasara kubwa kwa CCM.
 
Weka zako ambazo hazijachakachuliwa.

Mimi huwa naweka vitu live. Sema nyie endeleeni kupata viti Pemba tu! na safari hii twaja kuchukua baadhi kwa kuanzia
:A S wink:

The Following User Says Thank You to Mchukia Fisadi For This Useful Post:
Nyunyu (Today)
 
Urasa wewe hujuwi mapandikizi ya ccm!kwa taarifa yako kuanzia mtei muasis wa chadema mpaka mpendazoea fried hakuna mpambanaji wa mageuzi pale,historia inaonyesha wapambanaji wa kweli ni cuf,kuanzia lipumba,hamadi mpaka minazi na migomba ipo nyuma ya cuf,kwa sababu kama sikuonja bakora za ffu basi jela,juma duni alikaa miaka 2 na nusu,seif sharif na lipumba bakora za ffu,je niambie mrema hakuwa na nguvu kuliko chadema na dr slaa wake?,ipo siku alikutana na ffu au alikaa jela? Wewe hujuwi siasa ya ccm,ila subiri uchaguzi utakuja kuniambia weka kumbukumbuku hili .._)

Wapambanaji wa nini? Mbona hawakuwahi hata siku moja kuwa na ujasiri wa kuwataja mafisadi? Au nao ni miongoni mwao? Maana wameshawahi kuwa kwenye serikali hizo za kidhalimu chini ya CCM! Kama bakora na kwenda jela walijitakia! Weka kumbukumbu 2010 wenye akili timamu.....HATUDANGANYIKI!
 
nasikitika kuona kura za wapinzani zinavyogawanyika....! hii ni faida kwa sisiem.

JOIN CHADEMA PLZZ...!
Ni dalili kuwa operesheni sangara ilifanya kazi na sio jambo la kusikitisha, ikumbukwe kuwa CUF na CHADEMA walifanya kazi kubwa ya kuelimisha watu kwenye kanda ya kusini (kwa CUF) na kanda ya ziwa kwa CHADEMA. tusikatae, licha ya changamoto chache kuna maendeleo makubwa katika elimu ya demokrasia.
Tusubiri CHADEMA wakienda kusini ndio tutajua matunda ya kazi kwa kila chama, tusihukumu vibaya, tuwapime jinsi walivyotumia muda wa miaka mitano kujinadi kwa jamii
 
Duh yaani CUF Bukoba mjini imefikia hivi wakati ndio ilikuwa ngome yao Bara!
Ama kweli hawakusoma alama za nyakati.....

Baada ya Oktoba 31 yakishatoka matokeo ya uchaguzi ndiyo urudi tena na hadithi za "kusoma alama za nyakati". Lakini kwa sababu mshajitayarisha na vilio vya "kuibiwa kura" nina uhakika hadithi haitakuwa picha za kujaza watu, itakuwa vilio tofauti! Nitakutafuta baada ya matokeo. :hand:
 
Ukweli unabaki pale pale tangu Lwakatare alipovunja ndoa na CUF nacho kama chama katika mkoa wa Kagera kikaisha. Hapa mjini hawatapata more than 300 votes, belive me or not ndivyo itakavyokuwa. Tena wameweka mgombea kwa kupandikizwa na Hamis Kagasheki with payments na wanajaribu kuji assemble lakini hamna kitu zaidi ya kubaki na wale wadini wachache wa dini ile inayojifanya kumiliki chama hicho.


Mkuu,
Taratibu hapo kwenye red.......tuepuke mambo ya kunyoosheana vidole! Hatutakaa salama

 
President Slaa hashikiki!, na anatisha. Nasikia JK hapati usingizi.
 
[/COLOR][/B]

Mkuu,
Taratibu hapo kwenye red.......tuepuke mambo ya kunyoosheana vidole! Hatutakaa salama

Asante. Ni ukweli tu ndio utaviponya vyama vyetu visife na viendelee kuwa hai katika domokrasia hadi 2015. Bila hivyo hatutakutana kwenye viwanja hivi tena.
 
Back
Top Bottom