Elections 2010 Lipumba katika kampeni mjini Bukoba (picha)

Kaa la Moto

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
7,903
1,053
Jamani jana lipumba alikuwa katika kampeni mjini Bukoba, na alihutubia mkutano katika uwanja wa mashujaa (maarufu kama uwanja wa mayunga au uhuru platform). Kwa kuwa sikuwepo sijapata vizuri nini kiliongelewa lakini nimepata picha toka source mbali mbali na nazileta hapa. Kama kulikuwa na waandishi wa habari wataleta habari zao.
IMGP1391.JPG

IMGP1386.JPG

IMGP1384.JPG

IMGP1393.JPG

IMGP1395.JPG

IMGP1385.JPG

IMGP1396.JPG

IMGP1398.JPG
 
nasikitika kuona kura za wapinzani zinavyogawanyika....! hii ni faida kwa sisiem.

JOIN CHADEMA PLZZ...!
 
Since he is an opportunist, he will be paid in his own currency!!
 
kampeni zimeletwa kwenu kwa udhamini wa coca cola, bbrrrrrrrrrrrrrrr......
 
Urasa wewe hujuwi mapandikizi ya ccm!kwa taarifa yako kuanzia mtei muasis wa chadema mpaka mpendazoea fried hakuna mpambanaji wa mageuzi pale,historia inaonyesha wapambanaji wa kweli ni cuf,kuanzia lipumba,hamadi mpaka minazi na migomba ipo nyuma ya cuf,kwa sababu kama sikuonja bakora za ffu basi jela,juma duni alikaa miaka 2 na nusu,seif sharif na lipumba bakora za ffu,je niambie mrema hakuwa na nguvu kuliko chadema na dr slaa wake?,ipo siku alikutana na ffu au alikaa jela? Wewe hujuwi siasa ya ccm,ila subiri uchaguzi utakuja kuniambia weka kumbukumbuku hili .._)
 
Hapo walipo panaitwa uswahilini palipokuwa ngome ya CUF na kama jengo mojawapo linavyoashilia pakoje na kumbukumbu zangu huo uwanja ulitumiwa na JK ulifura pamoja na watu kuletwa na maroli toka vijijini vile vile siku ya Dr Slaa amepita briefly kuomba wadhamini watu walikanyagana. Tunza hizi kumbukumbu mtaamua siku huyo D8 atakapopita. Lipumba hana ubavu tena huko Bukoba.
 
nasikitika kuona kura za wapinzani zinavyogawanyika....! hii ni faida kwa sisiem.

JOIN CHADEMA PLZZ...!
No, hizi hesabu zenu zimekwenda shule? si kweli kwamba kura za upinzani zimeganyika hapana ila ukweli kwa siasa za Bukoba sisi m wamekosa kura za CUF. Ukitaka nikwambie sababu sema nitakuja na hesabu zilizokwenda shule na utakubali.
 
Hapo walipo panaitwa uswahilini palipokuwa ngome ya CUF na kama jengo mojawapo linavyoashilia pakoje na kumbukumbu zangu huo uwanja ulitumiwa na JK ulifura pamoja na watu kuletwa na maroli toka vijijini vile vile siku ya Dr Slaa amepita briefly kuomba wadhamini watu walikanyagana. Tunza hizi kumbukumbu mtaamua siku huyo D8 atakapopita. Lipumba hana ubavu tena huko Bukoba.
Kenge, siku Dr Slaa alipokuja kutafuta wadhamini watu waliojitokeza hapo hapo uwanjani ni kama hivi.

attachment.php


Kwa wale wanaotaka kujua ramani ya uwanja huo angalia katika picha hii ulipo ukuta ulio na matangazo ya Cocacola kati kati ya uwanja kisha nenda kaangalie na kule kwenye picha ya Lipumba. Utagundua hana mtu hapo Bukoba. Waswahili wao usema, amefulia.
 

Attachments

  • DSC_2371.jpg
    DSC_2371.jpg
    46.6 KB · Views: 236
Ukweli unabaki pale pale tangu Lwakatare alipovunja ndoa na CUF nacho kama chama katika mkoa wa Kagera kikaisha. Hapa mjini hawatapata more than 300 votes, belive me or not ndivyo itakavyokuwa. Tena wameweka mgombea kwa kupandikizwa na Hamis Kagasheki with payments na wanajaribu kuji assemble lakini hamna kitu zaidi ya kubaki na wale wadini wachache wa dini ile inayojifanya kumiliki chama hicho.
 
Lwakatare ndio mtu wasi wasi hakuna katika siasa,baada ya kupigwa bao na kagasheki mwisho wake ndio hapoooooo cuf ndio chama cha upinzani kitakachotoa historia kwa kuwa na rais katika jamuhuri ya muungano iwe zanzibar au bara kwanza chadema haipo zanzibar ..hicho sio chama cha kitaifa ..
 
Duh yaani CUF Bukoba mjini imefikia hivi wakati ndio ilikuwa ngome yao Bara!
Ama kweli hawakusoma alama za nyakati.....
 
Picha zimechakachuliwa makusudi kupotosha Lolz!
Weka zako ambazo hazijachakachuliwa.

Mimi huwa naweka vitu live. Sema nyie endeleeni kupata viti Pemba tu! na safari hii twaja kuchukua baadhi kwa kuanzia
:A S wink:
 
Back
Top Bottom