Lipumba atarudi Lini kutoka WORLD BANK.

mkigoma

JF-Expert Member
Jul 26, 2011
1,180
309
nampenda mtufahamishe huyu mchumi nguli Prof IBRAHIM .H. LIPUMBA atarejea lini nchini? ili aje aendeleze mapambano ya katiba mpya, huyu jamaa mimi binafsi huwa namkubali ni mtu jasiri, na vitendo, si muoga, na uwa anasimamia kauli zake tofauti na hawa wa vyama vingine. napenda wana jf mtujuze Lini atarudi?
 
He has nothing to gain in this corrupted Country ... Should care his life and work hard ..with WB!
 
Mie nadhani ni bora endelee kukaa huko huko tu Tanzania wanapenda kutawaliwa na wanasiasa sio wataalam
 
nampenda mtufahamishe huyu mchumi nguli Prof IBRAHIM .H. LIPUMBA atarejea lini nchini? ili aje aendeleze mapambano ya katiba mpya, huyu jamaa mimi binafsi huwa namkubali ni mtu jasiri, na vitendo, si muoga, na uwa anasimamia kauli zake tofauti na hawa wa vyama vingine. napenda wana jf mtujuze Lini atarudi?

Ngoja atengeneze pesa, mshikaji ana mambo mengi sana!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom