Kazi ya vyama si kuandaa maandamano what a worst
Kazi ya vyama ni kuendesha siasa kwa hoja si kuandaa maandamano??
Amesema serikali inakiuka haki za binadamu kukandamiza uhuru wa wananchi kuandamana.
Source: VoA leo saa 1:30 usiku
Nilikuambia post moja huko nyuma wewe huna akili umejaa porojo! Maandamano ni sehemu ya siasa ...unaishi wapi?
Nilikujibu kuwa wewe huna akili vilevile umejaa up.upu
Maandamano ni chaos kwa wakazi wa mji na raia wengine wasiopenda mambo ya siasa mfano wafanyabiashara nk..
Kazi ya chama ni kufanya mikutano ya hadhara ambayo ruhusa inatolewa kirahisi...
Mnapenda kuandamana kuonyesha upupu wenu kwamba mnaonewa?
Hamfahamu kuwa chaos zenu zinatuonea sisi tusio na muda na hizo siasa zenu?

mkuu....threads from these guys is a big scam...: please ignore...... the same syndicate of Geniusbrain, DSM, Malaria Sugu, mahesabu, topical.., charity boy, kishongo and the like...wapo wengi sana.... they have been hired by RA and Makamba...... and they have been equipped with new laptops.., zantel modems and chewing gums with mirungi... please ignore these idi..ots and hate preachersNilikujibu kuwa wewe huna akili vilevile umejaa up.upu
Maandamano ni chaos kwa wakazi wa mji na raia wengine wasiopenda mambo ya siasa mfano wafanyabiashara nk..
Kazi ya chama ni kufanya mikutano ya hadhara ambayo ruhusa inatolewa kirahisi...
Mnapenda kuandamana kuonyesha upupu wenu kwamba mnaonewa?
Hamfahamu kuwa chaos zenu zinatuonea sisi tusio na muda na hizo siasa zenu?
Una zidi kudhihirisha wewe ni mweupe kabisa up stairs
Umeandika kazi ya polisi ni kupiga wananchi - hii ni akili kweli
Umeongezea muda uliopita sasa eti wasiasa wasiandamane si kazi yao ooohh my footy una fikiria kama kiti moto asiye kwenye fugo.
mkuu....threads from these guys is a big scam...: please ignore...... the same syndicate of Geniusbrain, DSM, Malaria Sugu, mahesabu, topical.., charity boy, kishongo and the like...wapo wengi sana.... they have been hired by RA and Makamba...... and they have been equipped with new laptops.., zantel modems and chewing gums with mirungi... please ignore these idi..ots and hate preachers
Hamfahamu kuwa chaos zenu zinatuonea sisi tusio na muda na hizo siasa zenu?
Tropical hivi hujajua mpaka leo kuwa siasa inahusika na maisha yetu ya kila siku??
Leo hii tunategemea kampuni binafsi ya ndege kwa usafiri wa ndani kwa sababu siasa iliua ATC. Tunalipa nusu milioni to and fro Mza.
Msongamano wa magari Dar upo kwa vile siasa imezuia taaluma kufanya kazi yake.
Ukiuziwa nyama iliyooza buchani fahamu kuwa ni siasa imeua Tanesco ndio maana washa kata ipo JAn-Dec, linazalisha hela ya kulipa IPTL, Songas, Dowans and the like.
It is not about JK or your beloved CCM, its about our country unless wewe una uraia wa nchi nyingine.
Kazi ya vyama si kuandaa maandamano what a worst
Kazi ya vyama ni kuendesha siasa kwa hoja si kuandaa maandamano??