Lipumba afiwa na kaka yake

Kila kifo kina fundisho kwa sisi tulio hai. Sisi tuliohai tunajidai nini? Tunatembea na mauti zetu.

Tuwache kujifanya kuwa hatuna mwisho na kama vile huo mwisho wetu tunaujua utakuwaje au lini.

Inna Li Llahi Wa Inna ILllahi Rajiun.
 
RIP Hamad, well jamaa alikuwa mtu wa watu saana kwa wale waliofanya kazi Kibo Papers, iliyokuwa Pugu Road akiwa manager, watamkumbuka kwa utu wake.
Well, amemfata rafiki yake ambaye alimtangulia Masanja, sasa kundi lao amebaki peke yake Prof Habibu Mayunga Nkunya. Pole saana Prof Lipumba.
R.I.P Hamad
 
Back
Top Bottom