Lipumba afiwa na kaka yake

mzee wa mawe

Senior Member
Aug 2, 2011
151
15
mwenyekiti wa chama cha wanainchi cuf amefiwa na kaka yake Hamad .H. Lipumba. mazishi yatafanyika Leo baada ya swala ya ijumaa, sinza palastina.
 
R I P H H Lipumba..

Tunamuomba Mungu aisikile nakuiona swaumu yako kabla ya mauti Amina
Innah lilahih laijun..
 
Pole sana Prof Lipumba, Mwenyezi Mungu akupe uvumilivu wewe na familia yako katika kipindi hiki cha kuomboleza
 
If only we could maintain this kind of sanity in all threads!

Ukombozi usingekuwa mbali!

Pole Mh. Lipumba kwa kufiwa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom