Lini Watanzania watajijengea utaratibu wakujiuzulu?

Hii nchi utamaduni wa kujiuzuru ni kama jambo la ajabu halikuwahi kuwepo toka uhuru. Na hata record za waliowahi kuajiuzuru kama zipo naamini waliofanya hivyo hata 10 hawafiki.
Kwa hiyo hata ithibitike jambo flani waziri ndo tatizo ni ngumu mtu ajishushe chini na aone hata fedhaha kubaki pale badala yake ndo kwanza anajichukulia kama shujaa flani hivi ni tabia iliyojengwa na chama chakavu.
Sasa subiri uone watakao dondoshewa jumba bovu!
 
Nani asiyependa kutembelea v8 mkuu na msafara na ulinzi wakutosha...

Madarakan matamu mkuu
 
Ukiangalia viongozi wengi waliojiuzulu Nchi hii utagundua ni IQ kubwa

Hawa tulionao sasa hivi wana IQ za kuibia Wananchi tu.
 
Back
Top Bottom