Lini Tanzania itaanza kutumia hii teknolojia ya kuzuia ajali?

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,895
Wenzetu, huwa wanajaza mchanga maalimu sehemu zenyw mtelemko mkali au kona kali ili gari ikishindwa kukata kona au ikifeli breli iweze kuegeshwa hapo.

Mara nyingi Tanzania sehemu zenye kona wanawka mawe au vyuma(Guardrail).

Kwanini tusiweke Mchanga maalumu wa kuzuia ajali, uharibifu na vifo?

Tujenge barabara salama.

Runaway Truck Ramp ilivyo msave dereva. Asingepona..
 
Wenzetu, huwa wanajaza mchanga maalimu sehemu zenyw mtelemko mkali au kona kali ili gari ikishindwa kukata kona au ikifeli breli iweze kuegeshwa hapo.

Mara nyingi Tanzania sehemu zenye kona wanawka mawe au vyuma(Guardrail).

Kwanini tusiweke Mchanga maalumu wa kuzuia ajali, uharibifu na vifo?

Tujenge barabara salama.
View attachment 2945249
ndugu ushasema tz. tz na mambo mazuri wapi na wapi?
 
Wenzetu, huwa wanajaza mchanga maalimu sehemu zenyw mtelemko mkali au kona kali ili gari ikishindwa kukata kona au ikifeli breli iweze kuegeshwa hapo.

Mara nyingi Tanzania sehemu zenye kona wanawka mawe au vyuma(Guardrail).

Kwanini tusiweke Mchanga maalumu wa kuzuia ajali, uharibifu na vifo?

Tujenge barabara salama.
View attachment 2945249
Sie tusioweza hata kuzalisha sukari ya kutosha! Tujilishe kwanza!
Au, tuweke nguvu kwemye muziki na twerking, maana kwa kukata mauno tupo vzr
 
Labda niseme kitu omba mungu ajali isitokee maana hata pangewekwa magodoro ajali ni ajali tuu. We hao wasikudanganye mbona akina paul walker walikufa kwenye ajali pia
 
SIKU IKIFIKA IMEFIKA TU, HATA UJIKINGE VIPI

HAYA MFANO AJALI ZINAZOSABABISHWA NA MAJANGA YA ASILI (upepo mkali kimbunga, radi, mafuriko, volcano) UNAZUIAJE?
Labda niseme kitu omba mungu ajali isitokee maana hata pangewekwa magodoro ajali ni ajali tuu. We hao wasikudanganye mbona akina paul walker walikufa kwenye ajali pia
Kwa hiyo mnashauri tuache kuchukua tahadhari yoyote katika maisha?

Mwongozo tafadhali.

Anyways, namshukuru sana Dkt. Sa100 kwa kuwa na nchi yenye watu walio na maono kama haya yenye tija kwa umma!
 
sio kwamba nasema tusichukue tahadhari, no... tahadhari muhimu ila kuna ajali nyingine hazikwepeki
 
Wenzetu, huwa wanajaza mchanga maalimu sehemu zenyw mtelemko mkali au kona kali ili gari ikishindwa kukata kona au ikifeli breli iweze kuegeshwa hapo.

Mara nyingi Tanzania sehemu zenye kona wanawka mawe au vyuma(Guardrail).

Kwanini tusiweke Mchanga maalumu wa kuzuia ajali, uharibifu na vifo?

Tujenge barabara salama.
View attachment 2945249
Safi Sana hiyo kuweka Mchanga
 
Bongo ukiweka huo mchanga utajuta kwani madereva wa hapa wanavyopenda sifa watapageuza uwaja wa show off huku wakishindana nani zaidi.
 
Wenzetu, huwa wanajaza mchanga maalimu sehemu zenyw mtelemko mkali au kona kali ili gari ikishindwa kukata kona au ikifeli breli iweze kuegeshwa hapo.

Mara nyingi Tanzania sehemu zenye kona wanawka mawe au vyuma(Guardrail).

Kwanini tusiweke Mchanga maalumu wa kuzuia ajali, uharibifu na vifo?

Tujenge barabara salama.
View attachment 2945249
Itaanza kesho kutumia.
 
Back
Top Bottom