Linalo nitatiza

Mamushka

JF-Expert Member
Feb 17, 2010
1,595
99
Habari za toka mwaka jana wana Jf. Kwanza na mshukuru mungu kutupa uzima. Kuna jambo limekua likinitatiza kwa muda mrefu sasa, sijawahi kupata jibu na nimeshawahi kujaribu kuchunguza kwa wahusika kwa kuuliza maswali flani pengine ntapata jibu lakini wahusika hua hawako wazi. Yeyote anaeweza kunisaidia kwa jibu la swali langu, please kwa roho safi nisaidieni hata kama haijakupata ila ulishaskia kwa watu. Swali ni hivi eti wanawake walofiwa na waumezao yani wajane, tena wale ambao amefiwa akiwa kwenye umri mdogo ambao mtu anakua bado ana ham ya kufanya mapenzi, na pengine hajapata mtu kwakua anadhani ni mapema sana, au hataki mtu kwa kudai kumbukumbu ya mumewe mpenzi haija muisha kichwani, au ameokoka hawezi kua na mwanaume mpaka aolewe tena. Hawa wajane wakiskia ham au hali flani ya mwili kumsumbua huwa wanafanyaje? Jamani nataka kujua hili wanafanya ni ili ham iwaishe. Thanks guyz ntapata jibu kutoka kwenu. GOD IS GOOD ALL THE TIME.
 
My dear nadhani ham si kwa wajane pekee kila binadam alie mkamilifu ana ham!sema mambo mablimbali huwa yanapotezea ham mfano kazi nyingi,uchovu etc lakini ham iko pale pale,sijui hasa njia ya kutoa ham but nadhani kuwa busy sana hupunguza,kupunguza mawazo yaletayo ham mfano ulivyokuwa unafanya na mtu au kuwaza jinsi ya kufanya/kufanywa etc,lkn kama hutaki kabisa mshirikishe Mungu akuondolee mawazo hayo maana kam binadam ni ngum kwakweli,pole sana lkn pia si vibaya kupata mwenza mwengine ambae mtakubaliana(ikibidi lkn.)
 
Join Date Wed Feb 2010 Posts 422 Thanks 1 Thanked 48 Times

Ningeweza kukujibu ila tatizo wewe hutoagi senksi.
 
My dear nadhani ham si kwa wajane pekee kila binadam alie mkamilifu ana ham!sema mambo mablimbali huwa yanapotezea ham mfano kazi nyingi,uchovu etc lakini ham iko pale pale,sijui hasa njia ya kutoa ham but nadhani kuwa busy sana hupunguza,kupunguza mawazo yaletayo ham mfano ulivyokuwa unafanya na mtu au kuwaza jinsi ya kufanya/kufanywa etc,lkn kama hutaki kabisa mshirikishe Mungu akuondolee mawazo hayo maana kam binadam ni ngum kwakweli,pole sana lkn pia si vibaya kupata mwenza mwengine ambae mtakubaliana(ikibidi lkn.)

Usinipe pole pearl mi sio mjane, ninafaham yote ulonielewesha, but najaribu kufikira kuhusu waje, watu ambao wapo tu hawajakutwa na hilo wenyewe hua wameamua tu na anajua atamaliza vipi.
 
its sound like u mjane so wataka kujua hw to over come naniniii...chagua mmoja mpe tenda ya kukuliwaza...
...bt at list miez sita n above if nt 1yr ipite ndo uanze kutumia nanii ya mwanume mwngne...only if KM ALIKUWA ANAKUHESHMU ILA KM ALIKUWA ANALALA NYUMBA NDOGO NA KWAKO ANAPANYA KM DRESSNG ROOM ahh ukisharud kumzika inapota mwez then km kawa since HAKUKUPENDA WAKAT YUpo hai ..so haina haja ya kumuheshimu bt km alikuwa mume bora dah pole inabd umuheshimu na ata kumpa nanii mwanaume mwngne unajihisi km unamsalit mumeo vile.........pole

kat ya ao wanaokutongoza, chagua mmmoja mmfanyie vettng ya kutosha,msome na umstad km yaliyomo yamo mpeleke angaza then mpe KITENGO AKISIMAMIE..

..akuna njia nyingne wajane wanafanya zaid ya hii..bt chagua mmoja usichangane na ufanyie mbaaaaaali watotto +ndg wasikuone...

..TUNZA HESHIMA N AFTA 5YRS WAWEZA KUDECLARE ATA KUOLEWA NA MWANAUME YEYOTE YULE NA WATAKUELEWA.
 
May be ndo maana wanapenda kulala pamoja na watoto wadogo wa kiume on the same bed!!!
Utaanza kusikia anataka vijukuu vyake aishi navyo,pia inawezekana huo wanao wakuwaliwaza pembeni!!
 
its sound like u mjane so wataka kujua hw to over come naniniii...chagua mmoja mpe tenda ya kukuliwaza...
...bt at list miez sita n above if nt 1yr ipite ndo uanze kutumia nanii ya mwanume mwngne...only if KM ALIKUWA ANAKUHESHMU ILA KM ALIKUWA ANALALA NYUMBA NDOGO NA KWAKO ANAPANYA KM DRESSNG ROOM ahh ukisharud kumzika inapota mwez then km kawa since HAKUKUPENDA WAKAT YUpo hai ..so haina haja ya kumuheshimu bt km alikuwa mume bora dah pole inabd umuheshimu na ata kumpa nanii mwanaume mwngne unajihisi km unamsalit mumeo vile.........pole

kat ya ao wanaokutongoza, chagua mmmoja mmfanyie vettng ya kutosha,msome na umstad km yaliyomo yamo mpeleke angaza then mpe KITENGO AKISIMAMIE..

..akuna njia nyingne wajane wanafanya zaid ya hii..bt chagua mmoja usichangane na ufanyie mbaaaaaali watotto +ndg wasikuone...

..TUNZA HESHIMA N AFTA 5YRS WAWEZA KUDECLARE ATA KUOLEWA NA MWANAUME YEYOTE YULE NA WATAKUELEWA.

Asante kwa jibu, japo halitanisaidia, kwakua hujanielewa vizuri, nimeuliza wajane mimi sio nilipenda tu kujua.
 
Mi nipo spesho kwa ajili ya wajane ndo maana nimetangaza nia hakuna wapiga kula
 
Jee ulipofiwa mumeo hakua na ndugu wa kiume aliyekabidhiwa familia yako kuiangalia?kama yupo akikuambia shemeji hapo vipi utampa?ukumbuke ana saidia kutoa ada za watoto shule etc
 
Nadhani jibu la swali hili halipo maybe, nilidhani ni mimi tu linanitatiza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom