Limekaaje hili la diploma to digree...

Sio kuzeeka mkuu,hapo inategemeana na makubaliano kati ya NACTE na chuo husika,kama NACTE watawaruhusu hapo sawa,lakini ni vizuri watu wakajifunza kufuata utaratibu,kama utaratibu hauruhusu ndugu zangu tuanze kufuata utaratibu,SIKU HUWA NAAMINI HIZI NJIA ZA MKATO TUNAZOZITAFUTA NDIO ZINAZOZALISHA MAFISADI!

Mkuu sifikiri kama chuo cha serikali kitakuwa kinapromote njia za mkato. Utaratibu ulivo duniani kote hasa ni level ya chini katika chuo ni certificate (1 year) diploma (2 yrs) bachelor(3/4yrs), na sijawahi kusikia katika nchi yoyote yenye utaratibu usemao kuwa baada ya diploma, mtu akae nje mwaka mzima!!! Huku ni kurudishana nyuma! Ingekua vile vyuo vya kihindi vya kila course miezi sita kweli, lakini chuo cha serikali, kilichoweka ngazi hizo kisha eti ukae nje mwaka mzima!! Mwaka mzima ufanye nini? Sasa kwa mfumo huo wakukaa nje mwaka mzima ndo utazalisha MIFISADI hasa ilobobea!! Tz hakuna elimu, ndo maana watu hukimbilia India na malaysia!
 
Ukweli utabaki palepale kama TCU/NACTE watakubali hicho chuo chenu kidahili wanafunza wa kuunganisha hapo sawa,lakini maelezo ya kuwa wanafunzi wa diploma inabidi wasubiri kwa miezi kadhaa unategemeana na academic year ya vyuo vya tz ilivyo,wanafunzi wa certificate na diploma wanaanza chuo mwezikuanzia mwezi wa nane hadi wa kumi,kumaliza mwaka ni mwezi wa sita au wa saba,masahihisho ya mitihani ni zaidi ya miezi miwili ie hadi mwezi wa nane au tisa,muda ambao mwaka mpya wa masomo ndio unakuwa umeanza,so kinachobakia hapo ni makubaliano kati ya chuo na taasisi zinazosimamia udahili ie TCU/NACTE kama watakubali,tofauti na hapo inabidi usubiri!
 
wadau embu tuchangie hii hoja kwa umakin... Kuna taarifa zimesambazwa vyuon kutoka TCU kuwa wanafunzi wanaosoma Diploma hawatoruhusiwa kuunganisha Degree mpaka upite mwaka mmoja wakiwa kitaan... Je hii ishu mnaipokeaje wadau? Maana nawaonea huruma sana madogo... maana Magamba na system zao za Elimu? Kila siku idea mpya...

dah! Kama mpango ndio huu siku hizi basi nchi itakwenda kuzalisha maharamia sugu.mwako mmoja ni mrefu sana jamani.
 
Back
Top Bottom