Lile Kazeti Liliandikaga "Serikali ya Tanzania Inaongozwa na Mafia" Liko Wapi?

The Prophet

JF-Expert Member
Mar 17, 2011
682
94
naomba mtu anijuze. nalitafuta sana.

tangu litoke na hiyo headline sijawahi kulitia machoni tena.

mpaka nimesahau ata jina la gazeti lenyewe.
 
lala mkuu,kukesha tuachie tunao weza maana naona hujui hata unacho andika
 
manhattan sasa hivi tunajiandaa kwenda lunch.

kumbe nyie mmelala?

hahaha! ndiyo maana mnaibiwa madini yenu.

Lazima utakuwa wewe ni kibogoyo kwa jinsi unavyoandika nimejitaidi kukusahisha kidogo
 
Nakunukuu 'Lile kazeti liliandikaga' Mkuu si nenda shule kwanza kajifunze kuandika vizuri Chadema wenzako wanakuonea aibu kukwambia, mimi nimejitoa muhanga kukwambia ebu soma vizuri Thread yako uliyoianzisha
 
Nakunukuu 'Lile kazeti liliandikaga' Mkuu si nenda shule kwanza kajifunze kuandika vizuri Chadema wenzako wanakuonea aibu kukwambia, mimi nimejitoa muhanga kukwambia ebu soma vizuri Thread yako uliyoianzisha
 
manhattan sasa hivi tunajiandaa kwenda lunch.

kumbe nyie mumelala?

hahaha! ndiyo maana munaibiwa madini yenu.

na wewe unavyokuwa umelala si huku bongo 2nasongesha ka kawa..mbeba box wewe..illegal immigrant.
 
Back
Top Bottom