Juma pili ya Leo naitoa kwa Rais wa Serikali ya Tanzania aombewe anafanya mazito na ANAFANYWA mazito.

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,369
Kwanza nianze kwa salamu Mh Rais Shikamoo!

Binafsi jumapili ya leo nawaomba wakiristu wenzangu, na hata waislamu muungane nami Sifi leo jumapili ya Leo kumwombea Rais wetu wa Tanzania hakika ANAFANYA MAZITO LAKINI PIA ANAFANYWA MAZITO.

kwa kila raia wa Tanzania atakubaliana na mimi Rais wa awamu ya sita ameufungua uchumi alio shiriki kuufunga kwenye serikali ya awamu ya 5 ilo liko wazi.

Sambamba na ilo nimefatilia matendo ya Rais kutokea mwezi uliopita mpaka tarehe ya leo Mama wa watu hapumziki yupo angani tu analitangaza taifa lilirokuwa limefungwa na KIZA CHA ELININO.

kila uchwao mama yupo angani mara Rwanda mara wapi kote huko analitangaza taifa ambalo paspo kujua yakuwa mshahara wa dhambi ni mahuti.

Mh Raisi jumapili ya leo naitumia kukuombea Mungu akupe Maisha marefu,uyatende unayoyatamania mazuri kwa watanzania wote paspo ubaguzi.

Mh Rais nakuombea maisha marefu ili upate muda wa kutubu yale uliyoshiriki kuyafanya enzi za utawala wa mzirakende na ili ndilo kusudio la Mungu kukupa NAFASI KUBWA ZAIDI YA ILE ULIYOKUWA NAYO SASA.

Mh Rais nakuombea kwa Mungu akupe moyo wa dhati kabisa wa kigaidi dhidi ya MAJIZI YA MALI FEDHA ZA UMMA, yanayo tajwa kwenye ripoti ya CAG uyafanye kitu kizito kama ambavyo YANAKUFANYA KITU KIZITO PASPO HURUMA ,MAMA WA WAWATU UNAANGAIKA KULE NA HUKU UNA MWACHA MMEO UNAWAACHA WANAO WAJUKUUU ZAKO KUTWA KUCHA KUOMBA NA KUTAFTA FURSA ukirudi ndani ya taifa kuna MIJIZI INAPANGA KUKUIBIA NA MINGINE NI MITEULE YAKO JAMANI?

MH Rais Jumapili ya leo mimi Sifi leo ninTangaza kufunga na KUSALI KUPITIA NOVENA dhidi ya majizi naomba ukisikia mtu anaumwa hapo karibu yako,au hata ukijisikia vibaya basi tambua mtumishi wa Mungu sifoleo yupo kwenye Maombi na Muumba anapokea maombi yangu.

Unafanya mazito lakini na wewe majizi yanakufanya mazito.
 
Mafisadi yanyongwe Chinese style ndio watu wataogopa kujimwambafy kuiibia nchi Na serikali...Kwa nini wengine wanafanikiwa Na sisi kila kitu hatuwezi... hata la kunyonga mafisadi nalo ni mtihani... Mafisadi yanyongwe, nchi yetu isonge...mkishindwa - watu
watajichukulia sheria mikononi...
 
Kwanza nianze kwa salamu Mh Rais Shikamoo!

Binafsi jumapili ya leo nawaomba wakiristu wenzangu, na hata waislamu muungane nami Sifi leo jumapili ya Leo kumwombea Rais wetu wa Tanzania hakika ANAFANYA MAZITO LAKINI PIA ANAFANYWA MAZITO.

kwa kila raia wa Tanzania atakubaliana na mimi Rais wa awamu ya sita ameufungua uchumi alio shiriki kuufunga kwenye serikali ya awamu ya 5 ilo liko wazi.

Sambamba na ilo nimefatilia matendo ya Rais kutokea mwezi uliopita mpaka tarehe ya leo Mama wa watu hapumziki yupo angani tu analitangaza taifa lilirokuwa limefungwa na KIZA CHA ELININO.

kila uchwao mama yupo angani mara Rwanda mara wapi kote huko analitangaza taifa ambalo paspo kujua yakuwa mshahara wa dhambi ni mahuti.

Mh Raisi jumapili ya leo naitumia kukuombea Mungu akupe Maisha marefu,uyatende unayoyatamania mazuri kwa watanzania wote paspo ubaguzi.

Mh Rais nakuombea maisha marefu ili upate muda wa kutubu yale uliyoshiriki kuyafanya enzi za utawala wa mzirakende na ili ndilo kusudio la Mungu kukupa NAFASI KUBWA ZAIDI YA ILE ULIYOKUWA NAYO SASA.

Mh Rais nakuombea kwa Mungu akupe moyo wa dhati kabisa wa kigaidi dhidi ya MAJIZI YA MALI FEDHA ZA UMMA, yanayo tajwa kwenye ripoti ya CAG uyafanye kitu kizito kama ambavyo YANAKUFANYA KITU KIZITO PASPO HURUMA ,MAMA WA WAWATU UNAANGAIKA KULE NA HUKU UNA MWACHA MMEO UNAWAACHA WANAO WAJUKUUU ZAKO KUTWA KUCHA KUOMBA NA KUTAFTA FURSA ukirudi ndani ya taifa kuna MIJIZI INAPANGA KUKUIBIA NA MINGINE NI MITEULE YAKO JAMANI?

MH Rais Jumapili ya leo mimi Sifi leo ninTangaza kufunga na KUSALI KUPITIA NOVENA dhidi ya majizi naomba ukisikia mtu anaumwa hapo karibu yako,au hata ukijisikia vibaya basi tambua mtumishi wa Mungu sifoleo yupo kwenye Maombi na Muumba anapokea maombi yangu.

Unafanya mazito lakini na wewe majizi yanakufanya mazito.
Mkuu watakuita chawa. Kama vile wale kina MATAGA walichokuwa wanakifanya sio uchawa.
 
Na kweli ni mazito,kwa upigaji huu wa fedha za umma moto wa jehanamu unamsubiri
 
Yuko angani kukusanya posho za safari, siyo kwa maslahi ya taifa.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom