Lift nayompaga Workmate imezua utata!!!

Assume naye ana gari halafu kuna mkaka wanamaa naye jirani na wanafanya kazi pamoja anampa lift kiasi cha huyo kaka kumpigia na kumuuliza mbona hajatokea?
 
Mi wala simshangai girl friend wako. Mtu chake bwana.

Yani umefikia kupigiwa na simu ...wewe umekuwa dereva wa huyo binti???

Mimi mume wangu analijua hilo...marufuku kuwapa mabinti lifti...labda..tena labda wamama watu wazima jirani ninao wafahamu...nayo siyo ndo iwe kila siku.

Hata yeye hatanivumilia nikiwa nampa lifti jamaa fulani kila siku.

Lift lifti mwisho LIFT

Hivi mumeo angekuwa Daktari
labda Gyno hivi
ungefanyaje?
 
Huyo girlfriend tu hivyo, akiolewa si ndo atakuwekea bodyguard kabisa usipige hata chafya bila yeye kujua?

Mpe funguo za gari basi mwambie yeye aende kazini wewe ukae nyumbani kutwa.

Akikuzuia lifti atakuzuia usionane naye huko kazini nako?

Kwenda lunch naye?
 
My Girlfriend Sikai nae, but juzi kati alikuja akambonji kwangu, then asubuhi akaona call from workmate ikinitaarifu kua ashafika kituoni.

Ye hataki kukutana nae, bali nsitoe lift au tuachane!!

Huyo mpewa lift naye atulie, mpaka na simu? Si atakutwa huko kituoni alipo? Masharti ya lift yanajulikana kuwa lazima uwahi.

Sioni ubaya wa kumpa lift huyo workmate labda tu kama inapelekea wewe kujisahau, manake huchelewi kumpigia g/f simu kuwa utachelewa kwa sababu unampa lift w/mate!
 
Huyo girlfriend tu hivyo, akiolewa si ndo atakuwekea bodyguard kabisa usipige hata chafya bila yeye kujua?

Mpe funguo za gari basi mwambie yeye aende kazini wewe ukae nyumbani kutwa.

Akikuzuia lifti atakuzuia usionane naye huko kazini nako?

Kwenda lunch naye?

Imagine
 
Kuna jamaa alikuwa kila siku anampa binti wa sekondari LIFT ...yani kila siku.

Siku moja si wamepata ajali...baba yule alikufa pale pale...binti akawa mlemavu.
Baba wa binti akasema huyu jamaa ashukuru Mungu kafa maana ningemuua kwa mapanga...mi mwanangu nampa nauli kila siku yeye ana roho nzuri gani ya kumpeleka mwanagu shule kila siku.

Mi kwa kweli sitoi lifti hata kwa wanafunzi kwani najua inaweza nitokea puani.

Na watu waliolelewa na manners hawawezi omba lifi hata wakiwa wanafunzi. Omba omba ni omba omba tu na ni bad manners.
 
usaidiwe nini sasa? kutoa lifti, kuachwa au?

Ushauri tu bro.
Huyu gf sasa naona kama anataka kunipanda kichwani.
Hata nikimkwepa huyo binti barabarani nitakutana nae ofisini tu.
Kwa mfano nikiamua nami kua mbogo ili kulinda "sovereignty of man" isiwe "impaired", naona ndicho kilichobaki.
 
Kumbe umeshaamua tayari? Hivi mwanaume akikosolewa ni kupandwa kichwani eeh! Go ahead,muache huyo G'friend ili uwe dereva mzuri wa w'mate ila siku ukikutana na reaction ya b'friend wake usije kuanzisha thread nyingine kuomba ushauri.
 
Wewe tayari umeshaingia line....unacheza na LIFT wewe.

Eti sovereignty of a man...hivi wanaume wote wana prove uanaume wao kwa kutoa LIFT?

Ushauri tu bro.
Huyu gf sasa naona kama anataka kunipanda kichwani.
Hata nikimkwepa huyo binti barabarani nitakutana nae ofisini tu.
Kwa mfano nikiamua nami kua mbogo ili kulinda "sovereignty of man" isiwe "impaired", naona ndicho kilichobaki.
 
ila kwa kweli haipendezi kwa nini asiwahi kituoni na yeye au ndo anajitegesha kwako apate lift kila siku, haweki bajeti ya kupanda gari kwani
 
Wadau,

Hivi karibuni ofisini kwetu ameingia mdada mmoja hivi ambae nlikuja kugundua anakaa karibu Na home.

Nimekua nikimpita kwenye kituo cha daladala na mwishowe anakuja ofisini akiwa amechelewa.

After few weeks toka aingie pale job nikaamua kua namsaidia lift daily.

Sasa my girlfriend amegundua na anatishia kuvunja mahusiano,

Please Help!!

Sound like kidding. Piga chini huyo mate apande daladala. Alikujua wewe upo ili umpe lift? Acha uzembe wa kufikiri, na uwe makini sana, kama vile umeshafika mbali na huyo mpewa lift. Ndiyo maana bi mkubwa anakuwashia moto.
 
Ushauri tu bro.
Huyu gf sasa naona kama anataka kunipanda kichwani.
Hata nikimkwepa huyo binti barabarani nitakutana nae ofisini tu.
Kwa mfano nikiamua nami kua mbogo ili kulinda "sovereignty of man" isiwe "impaired", naona ndicho kilichobaki.
Huo ndio uamuzi mkuu,
Huyo Gf wako ukimuendekeza sana atakuambia hata uache kazi hapo ofisini alipo huyo Binti!!
Malezi tunatofautiana, pengine yeye kwao hajalelewa katika kuwasaidia wengine.
Nimeipenda hiyo ya kulinda Sovereignty yetu kwa kweli!!
 
Ushauri tu bro.
Huyu gf sasa naona kama anataka kunipanda kichwani.
Hata nikimkwepa huyo binti barabarani nitakutana nae ofisini tu.
Kwa mfano nikiamua nami kua mbogo ili kulinda "sovereignty of man" isiwe "impaired", naona ndicho kilichobaki.

...there You are!
hatimaye umeusema ukweli wako ambao ni kwamba uliisha anza mahesabu fulani kichwani juu ya huyo mpewa lifti!

There is this thing about giving a lift to bint na hivi vimini-skirt vyao vinapanda kidogo juu ya goti halafu mko wawili tu siku nenda siku rudi....mpaka unaanza kuhalalisha kuwa Gfriend wako anataka kukupandakichwani!!

GO AHEAD! do what you were thinking before coming here to ask for advice, with tongue on cheek!!

Back
Top Bottom