Firstlady wa Uamsho@work!
ha ha....umeiremba sana asubuhi yangu...thx...
yani wala si masikhara !she really missing it!Wenzio mama zetu sio mafisadi. Sasa hadi tumalize elimu za juu kabisa, tupate kazi, tununue vigodoro na dressing table, kiwanja, kujenga, finishing! Furnishing bado! Afu ndo tuolewe, si tutaolewa wabibi? Tunakutana vijana wadogo, tunapendana na kusaka kila mali pamoja. That way hatunyanyasiki manake unajua bei ya tofali hadi ya kioo cha bafuni! Challenge za kustruggle zinatuweka karibu zaidi. Chezeiya mume kupiga mzinga wa 50 tau asubuhi asubuhi? You dont know what you are missing!
kwanza makinda kafanikiwa lile tatizo??
Tena ukiolewa unakuwa malkia
Wenzio mama zetu sio mafisadi. Sasa hadi tumalize elimu za juu kabisa, tupate kazi, tununue vigodoro na dressing table, kiwanja, kujenga, finishing! Furnishing bado! Afu ndo tuolewe, si tutaolewa wabibi? Tunakutana vijana wadogo, tunapendana na kusaka kila mali pamoja. That way hatunyanyasiki manake unajua bei ya tofali hadi ya kioo cha bafuni! Challenge za kustruggle zinatuweka karibu zaidi. Chezeiya mume kupiga mzinga wa 50 tau asubuhi asubuhi? You dont know what you are missing!
Natalia is back... Hebu tueleze wa umejenga wapi new york au mexico city?
Mwanaume wangu yupo kazini watoto shule sina la kufanya na shop online blog Mara nipo jamii forum Mara Tmz Mara u turn .ndio kazi yanguNashangaa wewe unang'aa ng'aa macho hapa JF .......Sasa hivi ungekuwa Paris unafanya shoping na ku-make lovee.......Lakini utaweza wapi mzazi wako hana PHD....wewe mwenyewe ni product ya UPE.
Vipi! nikupgie ndogondogo kwa Natalia akupe kibarua, na navyomjua hausigelo anamlipa US dolar 500 kwa dakika
Nashangaa wewe unang'aa ng'aa macho hapa JF .......Sasa hivi ungekuwa Paris unafanya shoping na ku-make lovee.......Lakini utaweza wapi mzazi wako hana PHD....wewe mwenyewe ni product ya UPE.
Vipi! nikupgie ndogondogo kwa Natalia akupe kibarua, na navyomjua hausigelo anamlipa US dolar 500 kwa dakika
nipigie basi pande.
Nimefulia hadi natoka unga.
Mwanaume wangu yupo kazini watoto shule sina la kufanya na shop online blog Mara nipo jamii forum Mara Tmz Mara u turn .ndio kazi yangu
Nimejengewa na wazazi wangu nyumba Tatu moja kunduchi na mbili masaki.wazazi wangu waliuziwa na serikali.na Huku mume wangu kanunua nyumba kaweka Jina langu