Life is about living,free spirit stress free mambo ya ujenzi Mmwachie mume

Natalia

JF-Expert Member
Jul 3, 2011
4,324
1,892
Wanawake Jenga ndio uolewe.usisubiri kitchen party upewe Godoro.na baada ya harusi akianza shughuli ya viwanja eti kujenga mwambie ushajenga .ajemge yake ,ndoa ndoano akili kichwani..
 
kwanza makinda kafanikiwa lile tatizo??

Tena ukiolewa unakuwa malkia
 
Its true mwanamke kuwa na nyumba kunakupa uhuru na kupunguza manyanyaso.whether am married or not swala la kumilik mjengo na kuwa financialy independent to me its a must.
 
Wenzio mama zetu sio mafisadi. Sasa hadi tumalize elimu za juu kabisa, tupate kazi, tununue vigodoro na dressing table, kiwanja, kujenga, finishing! Furnishing bado! Afu ndo tuolewe, si tutaolewa wabibi? Tunakutana vijana wadogo, tunapendana na kusaka kila mali pamoja. That way hatunyanyasiki manake unajua bei ya tofali hadi ya kioo cha bafuni! Challenge za kustruggle zinatuweka karibu zaidi. Chezeiya mume kupiga mzinga wa 50 tau asubuhi asubuhi? You dont know what you are missing!
 
[Preta] nahisi kukuita iv, bi madolare kaweka 'senema'
mpya.. Mpitie msema kweli [gsfsonwin] na mheshimiwa [Mtambuzi]
mydia [Nivea] natamani sauti yako!..
Come on kibande hii
 
ha ha....umeiremba sana asubuhi yangu...thx...

teh yani was thinking of u,af naandika comment nikuite..teh Mwenzangu asa tumuiteje..teh wale wale wanawaza kwa kutumia Mate
 
wanawake wenye uwezo wa kujenga bila msaada wa wanaume ni wachache sana. Wengi twatamani kujenga, lakini kipato duni ndo kikwazo
 
Wenzio mama zetu sio mafisadi. Sasa hadi tumalize elimu za juu kabisa, tupate kazi, tununue vigodoro na dressing table, kiwanja, kujenga, finishing! Furnishing bado! Afu ndo tuolewe, si tutaolewa wabibi? Tunakutana vijana wadogo, tunapendana na kusaka kila mali pamoja. That way hatunyanyasiki manake unajua bei ya tofali hadi ya kioo cha bafuni! Challenge za kustruggle zinatuweka karibu zaidi. Chezeiya mume kupiga mzinga wa 50 tau asubuhi asubuhi? You dont know what you are missing!
yani wala si masikhara !she really missing it!
 
kwanza makinda kafanikiwa lile tatizo??

Tena ukiolewa unakuwa malkia

Nashangaa wewe unang'aa ng'aa macho hapa JF .......Sasa hivi ungekuwa Paris unafanya shoping na ku-make lovee.......Lakini utaweza wapi mzazi wako hana PHD....wewe mwenyewe ni product ya UPE.

Vipi! nikupgie ndogondogo kwa Natalia akupe kibarua, na navyomjua hausigelo anamlipa US dolar 500 kwa dakika
 
Last edited by a moderator:
Wenzio mama zetu sio mafisadi. Sasa hadi tumalize elimu za juu kabisa, tupate kazi, tununue vigodoro na dressing table, kiwanja, kujenga, finishing! Furnishing bado! Afu ndo tuolewe, si tutaolewa wabibi? Tunakutana vijana wadogo, tunapendana na kusaka kila mali pamoja. That way hatunyanyasiki manake unajua bei ya tofali hadi ya kioo cha bafuni! Challenge za kustruggle zinatuweka karibu zaidi. Chezeiya mume kupiga mzinga wa 50 tau asubuhi asubuhi? You dont know what you are missing!

hahahahahaaaaaaa
 
Natalia is back... Hebu tueleze wa umejenga wapi new york au mexico city?

Nimejengewa na wazazi wangu nyumba Tatu moja kunduchi na mbili masaki.wazazi wangu waliuziwa na serikali.na Huku mume wangu kanunua nyumba kaweka Jina langu
 
Nashangaa wewe unang'aa ng'aa macho hapa JF .......Sasa hivi ungekuwa Paris unafanya shoping na ku-make lovee.......Lakini utaweza wapi mzazi wako hana PHD....wewe mwenyewe ni product ya UPE.

Vipi! nikupgie ndogondogo kwa Natalia akupe kibarua, na navyomjua hausigelo anamlipa US dolar 500 kwa dakika
Mwanaume wangu yupo kazini watoto shule sina la kufanya na shop online blog Mara nipo jamii forum Mara Tmz Mara u turn .ndio kazi yangu
 
Last edited by a moderator:
nipigie basi pande.

Nimefulia hadi natoka unga.

Nashangaa wewe unang'aa ng'aa macho hapa JF .......Sasa hivi ungekuwa Paris unafanya shoping na ku-make lovee.......Lakini utaweza wapi mzazi wako hana PHD....wewe mwenyewe ni product ya UPE.

Vipi! nikupgie ndogondogo kwa Natalia akupe kibarua, na navyomjua hausigelo anamlipa US dolar 500 kwa dakika
 
Last edited by a moderator:
kumbe vya kupewa sasa kwanini unapiga mayowe humu.

Nimejengewa na wazazi wangu nyumba Tatu moja kunduchi na mbili masaki.wazazi wangu waliuziwa na serikali.na Huku mume wangu kanunua nyumba kaweka Jina langu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom