Libwata . . . . !!!

Imany John

JF-Expert Member
Jul 30, 2011
2,930
1,165
Inapotokea mwanamke katika familia ya wawili wapendanao anasauti kuliko mumewe,na wanandugu wakaligundua hasa upande wa mume huanza kulalama ya kuwa kalishwa kitu,mara karogwa au limbwata.&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;<br />
Ni kwa nini huwa wanafikiria ni libwata na sio mapenzi ya mume kwa mke ndo mana anamtii mkewe kwa kufuata kila jambo analomwambia.&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;<br />
Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom