Libeneke la Agenda Participation 2000 na ActionAid

Mchokonozi

Member
Nov 17, 2009
15
0
[h=6]Nawashangaa Agenda Participation 2000 na ActionAid. Wanatumia pesa nyingi kufanya mikutano ya hadhara, ati, Tanzania tunayoitaka isiyokuwa na mgao wa umeme! Duh! Haya, hawataki mgao, je, wana nini mbadala cha kutuambia? Wanamlalamikia nani? Serikali? Kwani wao ni nani kama si hiyo hiyo Serikali? Serikali si taasisi, ni WANANCHI! Wamechemka VIBAYA!

[/h]Hizi NGO nyingine hizi jamani, sijui kwa nini hazifutwi! Hakuna lolote la maana wanatuambia! Ni miradi tu ya kijanja!
 
Back
Top Bottom