Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 12,719
- 19,839
Soka inaunganisha, na kwa kulifahamu hilo ndio maana FIFA kwa muda mrefu ilikuwa haitaki kuingiliana na Siasa, kama una mambo yako au mambo yenu malizaneni huko nje mkiingia uwanjani kuna lugha moja tu, nayo ni kandanda.
Kwanini nimesema haya na kwanini nimesema sasa, baada ya Mchezaji wa Morocco kusema kwamba ushindi ni wa Waislamu na Waarabu (mimi ingawa sio vyote hivyo wala it does not matter kama ndio wala sio nilimuelewa) na jibu zuri taweka interview ya Kocha wa Morocco kabla ya game na Canada.
Pili soka ni kama kioo mfano mtu mwenye kilema kidogo kama Garrincha alivyoweza kucheza na kuweza kupiga sana chenga lazima vilema wote walikuwa wana-associate na Garrincha kwahio akisema ushindi huu unawakilisha vilema sio kwamba anatutenga wazima, wala hawezi kusema vilema msinishabikie sababu watu wasio vilema watasikitika.
Tatu inabidi FIFA waendelee kuwa wakali katika Political Statements kwenye Pitch wala hazifai au Serikali kutumia Timu ndani ya Uwanja kutoa Statement zinazotenga wengine huenda ikawa hasara kwa Timu fulani kukosa baadhi ya mashabiki unless kuna direct connection na mashabiki hao.
Kwahio tuache kuwa petty na tuangalie performance ya ndani ya pitch na sio maisha ya watu / mtu nje ya pitch (lakini kama una associate na mtu fulani sababu una-connection fulani) sio mbaya kwa mchezaji huyo kukuwakilisha, Mfano Pele aliwakilisha watu weusi wengi sana kipindi cha ubaguzi; kwa watu hao kuona kwamba kumbe hata sisi tunaweza, vilevile humble beginnings za kina Maradona ziliwakilisha masikini.
Let's not Kill The beautiful Game.