Let's not Kill the Beautiful Game

Logikos

JF-Expert Member
Feb 26, 2014
12,599
19,672
Soka inaunganisha, na kwa kulifahamu hilo ndio maana FIFA kwa muda mrefu ilikuwa haitaki kuingiliana na Siasa, kama una mambo yako au mambo yenu malizaneni huko nje mkiingia uwanjani kuna lugha moja tu, nayo ni kandanda.

Kwanini nimesema haya na kwanini nimesema sasa, baada ya Mchezaji wa Morocco kusema kwamba ushindi ni wa Waislamu na Waarabu (mimi ingawa sio vyote hivyo wala it does not matter kama ndio wala sio nilimuelewa) na jibu zuri taweka interview ya Kocha wa Morocco kabla ya game na Canada.

Pili soka ni kama kioo mfano mtu mwenye kilema kidogo kama Garrincha alivyoweza kucheza na kuweza kupiga sana chenga lazima vilema wote walikuwa wana-associate na Garrincha kwahio akisema ushindi huu unawakilisha vilema sio kwamba anatutenga wazima, wala hawezi kusema vilema msinishabikie sababu watu wasio vilema watasikitika.

Tatu inabidi FIFA waendelee kuwa wakali katika Political Statements kwenye Pitch wala hazifai au Serikali kutumia Timu ndani ya Uwanja kutoa Statement zinazotenga wengine huenda ikawa hasara kwa Timu fulani kukosa baadhi ya mashabiki unless kuna direct connection na mashabiki hao.

Kwahio tuache kuwa petty na tuangalie performance ya ndani ya pitch na sio maisha ya watu / mtu nje ya pitch (lakini kama una associate na mtu fulani sababu una-connection fulani) sio mbaya kwa mchezaji huyo kukuwakilisha, Mfano Pele aliwakilisha watu weusi wengi sana kipindi cha ubaguzi; kwa watu hao kuona kwamba kumbe hata sisi tunaweza, vilevile humble beginnings za kina Maradona ziliwakilisha masikini.

Let's not Kill The beautiful Game.
 
Interview ya Kocha wa Morocco kabla ya Game la Canada

Morocco coach Walid Regragui said African nations have shown they are not “sub par” at the World Cup - and tipped one to go on to lift the trophy.

Rugraagui’s side need a point from Thursday's encounter against Canada to make it through to the knockout stage and join fellow African nation Senegal.

For the first time in World Cup history, all five African nations at the tournament are led by African coaches, with Rugraguai claiming they have shown they are equal to the very best countries from Europe and South America,

“Obviously, Morocco is my priority,” said Rugragui. “But we’re also African, as Senegal are, as Ghana are, as Cameroon and Tunisia are, so we hope to fly the flag of African football high. Often, we’ve been described as being ‘sub-par’, that somehow African football wasn’t as good as elsewhere.

“But at this World Cup, I think we are showing we can give any other team a run for their money, whether we are talking about European or South American teams.

“I hope in the future, that we will be seeing this from more African teams and why not an African nation winning the World Cup?

“Obviously because of our origins, and this being the first World Cup being held in the Middle East and the Arab world, there are people supporting us, and we hope that we can make those supporters happy as well. If they see us as flag bearers for the Arab world and we hope we can qualify for them too.”
 
Soka inaunganisha, na kwa kulifahamu hilo ndio maana FIFA kwa muda mrefu ilikuwa haitaki kuingiliana na Siasa, kama una mambo yako au mambo yenu malizaneni huko nje mkiingia uwanjani kuna lugha moja tu, nayo ni kandanda.

Kwanini nimesema haya na kwanini nimesema sasa, baada ya Mchezaji wa Morocco kusema kwamba ushindi ni wa Waislamu na Waarabu (mimi ingawa sio vyote hivyo wala it does not matter kama ndio wala sio nilimuelewa) na jibu zuri taweka interview ya Kocha wa Morocco kabla ya game na Canada.

Pili soka ni kama kioo mfano mtu mwenye kilema kidogo kama Garrincha alivyoweza kucheza na kuweza kupiga sana chenga lazima vilema wote walikuwa wana-associate na Garrincha kwahio akisema ushindi huu unawakilisha vilema sio kwamba anatutenga wazima, wala hawezi kusema vilema msinishabikie sababu watu wasio vilema watasikitika.

Tatu inabidi FIFA waendelee kuwa wakali katika Political Statements kwenye Pitch wala hazifai au Serikali kutumia Timu ndani ya Uwanja kutoa Statement zinazotenga wengine huenda ikawa hasara kwa Timu fulani kukosa baadhi ya mashabiki unless kuna direct connection na mashabiki hao.

Kwahio tuache kuwa petty na tuangalie performance ya ndani ya pitch na sio maisha ya watu / mtu nje ya pitch (lakini kama una associate na mtu fulani sababu una-connection fulani) sio mbaya kwa mchezaji huyo kukuwakilisha, Mfano Pele aliwakilisha watu weusi wengi sana kipindi cha ubaguzi; kwa watu hao kuona kwamba kumbe hata sisi tunaweza, vilevile humble beginnings za kina Maradona ziliwakilisha masikini.

Let's not Kill The beautiful Game.
Mibaguzi ya Kiarabu ndio umefika tamati. Wacha warudi huku Arabuni kupambana na Taifa Stars na Burundi 🇧🇮
 
Kocha hana baya, kaongea vizuri tu, sijui huyo boufal sijasikia interview yake.
Boufal alisema hivi.... alisema hivi....

Kwamba ushindi huu ni Waislamu, Morocco na Waarabu...,

Ila ukiangalia hii ni mara ya kwanza nchi za Kiarabu kufika hatua hii (kwahio huu ni ushindi kwao) pia timu nzima ni Imani ya Kiislamu na huenda wamejipatia mashabiki wengine (kwahio sio mbaya kwa jamaa ku-capitalize)

By the way hivi unajua hii timu ni ya watu wa mataifa mbalimbali hata language ni barrier na kuna wengine hata kuongea inakuwa tabu (wanaongea lugha tofauti)?

All in all ni kweli North Africans wanaji-identify zaidi na middle east na wengine wanajiona / hawapendi hata kusema kwamba ni Africans...., ila huo ni upuuzi wa hao wachache ila nchi ikifika mbali huenda FIFA ikatupa timu zikafika hata kumi siku moja (benefit for the whole continent)
 
Mibaguzi ya Kiarabu ndio umefika tamati. Wacha warudi huku Arabuni kupambana na Taifa Stars na Burundi 🇧🇮
Waarabu ni wabaguzi ? Kuna ukweli fulani......; Kwahio hata akiwepo Muarabu mtanzania asicheze timu ya Taifa au akicheza utaacha kuwashabikia ? Nadhani ni vema kutenga kila issue huenda mtu ukakataa kuishi huko kutokana na kutofurahia culture yao ila kuingiza Politics kwenye the Beautiful Game sio Poa.... (Upuuzi ubakie nje ndani ya Uwanja tunaongea lugha moja tu nayo ni Soka)

Hawa wachezaji hapo wanawakilisha Afrika; Naam; By the way unajua humo ndani kwenye timu kuna watu hata kiarabu hawajui kuongea na culturally ni ni Europeans na mataifa mengine kuliko hata waarabu ? Ila unajua Timu imejipatia mashabiki wengi pale Qatar sababu ya kuwa an Arab Country ? Je kuna ubaya kuwa Mwarabu ? au ukiwa Mwarabu hauwezi ku-represent Africa ?

Hivi hujui kwamba na wewe kujikita kwenye ubaguzi / kubaguana hauna tofauti na hao wapuuzi ?
 
Maimtafutie maneno ya kumfanya aonekane alichokiongea ni sahihi

Amezingua kwasababu moja tu, awali kulikuwa na rumors kuwa waarabu wamekuwa wakiukana uafrika na kusisitiza wao sio waafrika bali ni wa arabu

Kufuatia kauli yake maana yake anaenda kuwathibitishia wale waliokuwa hawakubaliani na ile rumor kuwa hawakuwa sahihi kupingana nayo
 
Waarabu ni washenzi tu
Ushenzi wa Waarabu unaingia kwenye Pitch ?

Kumbuka what's at stake..., might be kuongezewa namba ya timu za mpira kumbuka zamani tulikuwa na timu moja..., hadi kufika tatu ni kazi nzuri ya Cameroon 1990....

Kwahio ushenzi wao tutauongelea baada ya kuvuliwa uwakilishi wa Bara la Africa...., By the way kwanini uishie tu kwenye hii timu huko na usigomee kisimbuzi na product za Azam ? Au where do you cross the line ?

Binafsi ni kama Mwalimu alivyosema Kaburu ni Kaburu tu...., Kama mtu huku anawabagua wengine kwamba sio wazawa ni Kaburu hatuwezi kumuacha eti sababu ni mweusi mwenzetu... (Paraphrasing)
 
Mi nadhani tupambanie Taifa stars iende world cup, Kisha tukishinda capteni wetu aseme huu ushindi ni kwa ajili ya wazaramo, wakurya, wasukuma, wagogo, wamachinga na jumuiya yote ya kwamtogole, madale, uwanja wa fisi, kwampalange nk
 
Wewe akili huna

Azam anafanya kazi chini ya sheria za Tanzania
Km unadhani uyo yupo juu ya sheria aingize udini hadharani (kinyemela anaweza) km waarabu wajinga km atadumu hewani hata saa moja

Ulivyo mjinga unadhani kila mtu anatumia Azam

Ushenzi wa Waarabu unaingia kwenye Pitch ?

Kumbuka what's at stake..., might be kuongezewa namba ya timu za mpira kumbuka zamani tulikuwa na timu moja..., hadi kufika tatu ni kazi nzuri ya Cameroon 1990....

Kwahio ushenzi wao tutauongelea baada ya kuvuliwa uwakilishi wa Bara la Africa...., By the way kwanini uishie tu kwenye hii timu huko na usigomee kisimbuzi na product za Azam ? Au where do you cross the line ?

Binafsi ni kama Mwalimu alivyosema Kaburu ni Kaburu tu...., Kama mtu huku anawabagua wengine kwamba sio wazawa ni Kaburu hatuwezi kumuacha eti sababu ni mweusi mwenzetu... (Paraphrasing)
 
Maimtafutie maneno ya kumfanya aonekane alichokiongea ni sahihi
Nimekupa mfano wa Garrincha pale juu na ukilema..., Pia nimekukumbusha huenda Morocco ina mashabiki wengi sana hapo Qatar sababu ya uarabu wao (ila hio haitoi uwakilishi wao kwa Africa) ndio maana nikakupa interview ya Kocha wao (mtu mwenye busara ambaye I hope tupo wengi wa hivyo)..., kwahio hata wewe huenda ukiwa mcheza mpira mzuri na mmakonde wamakonde wasiopenda mpira wakakushangilia (ila hio haipunguzi utanzania wako)
Amezingua kwasababu moja tu, awali kulikuwa na rumors kuwa waarabu wamekuwa wakiukana uafrika na kusisitiza wao sio waafrika bali ni wa arabu
Hio sio Romours North African countries identify themselves more as Middle Eastern ndio maana hata mimi tukija mashindano ya ndani ninashabikia kwanza kina Zambia n.k. (sababu sisi hatumo na tukienda tunazingua) na Kenya huenda usishabikiesa sana (bragging rights) na watakucheka mpaka kingdom come..., ila nashabikia sana K.K. Eleven (The mighty Zambians) huenda sababu ya kombe la Challenge la zamani walikuwa wanakuja kwetu so I can identify more with them....
Kufuatia kauli yake maana yake anaenda kuwathibitishia wale waliokuwa hawakubaliani na ile rumor kuwa hawakuwa sahihi kupingana nayo
Like I said hapo juu leo ni flag bearers wa Africa no matter tabia zao (hizo ni za kwao) na kufanya kwao vizuri huenda kukatongezea Timu zaidi Africa...

Tukileta Ukoloni unadhani hao Portugal, German au yoyote yule unadhani atashabikiwa ?

Hivi unajua hata kabla ya Pele na hao Brazil walikuwa hawataki kuchezesha mtu rangi nyeusi timu ya Taifa.... Point yangu ni kwamba People are not good Human Beings kwahio kwenye mpira tusahau ujinga wa watu hususan kama wanapeperusha bendera ya Bara (officially hata kama wao wanaona otherwise)...
 
Wewe akili huna
Naam huenda ni kweli ila sidhani kama huu uzi ni kujadili ukosefu wangu wa akili..., sidhani kama jamii ina muda wa kupoteza....
Azam anafanya kazi chini ya sheria za Tanzania
Who said otherwise ?, Na Morocco anacheza huko kwa mujibu wa nini ? Kuvunja Sheria ?
Km unadhani uyo yupo juu ya sheria aingize udini hadharani (kinyemela anaweza) km waarabu wajinga km atadumu hewani hata saa moja
Wewe ndio umesema waarabu ni wajinga mimi nikakujibu ujinga wao unaingia vipi kwenye pitch ambapo lugha ni moja tu nayo ni kucheza mpira ? Kwahio ndio maana nikasema kwa mtaji huo (waarabu ni wajinga) kwanini hata ununue kisimbusi cha AZAM au mali za Mwarabu (au Baniani mbaya kiatu chake dawa)
Ulivyo mjinga unadhani kila mtu anatumia Azam
Nani kasema hivyo to each his/her own ila asiyetumia kingamuzi sababu mmiliki ni mwarabu au aliyeleta service ya watu kuweza kuangalia ligi yao kwa urahisi majumbani mwao nani ni mjinga ?
 
Mi nadhani tupambanie Taifa stars iende world cup,
Ni vema na Haki....
Kisha tukishinda capteni wetu aseme huu ushindi ni kwa ajili ya wazaramo, wakurya, wasukuma, wagogo, wamachinga na jumuiya yote ya kwamtogole, madale, uwanja wa fisi, kwampalange nk
Huyo Captain atakuwa mjinga na wala hakuna sababu..., lakini akisema huu ushindi ni wa East Africa na nchi za maziwa makuu, hakuna neno - wala haimaanishi kwamba utakuwa sio ushindi wa Afrika nzima... (na kama wengi tungekuwa ma-rasta angeweza pia kusema kwamba ushindi huu ni wa marasta pia) ila haimaanishi non rasta sio ushindi wao....

Ila kama ni captain alikuwa machinga sio mbaya kwa machinga kuona kwamba ushindi huu ni wa kwao pia..., ila ni ngumu kusema huu ni ushindi wa wazaramo wakati timu nzima sio wazaramo na hata kama kuna mtu sio mzaramo atakuwa hajamtenga kwa kusema ushindi ni wa wazaramo haimaanishi wahaya pia hawapo... na itakuwa haina tija kusema hivyo unless ikiwa ni mara ya kwanza kwa mzaramo kucheza mpira...
 
The problem here is Islam yaani mahali alipotaja waislamu sasa Morocco ni Islamic country na inaongozwa na mfalme walitaka asemeje ni sawa na Italy iseme hii ni kwa ajili ya Christian wote kwasababu tunajua hizo ni nchi za religion state.
 
Hata huyo ni chuki tu za Africa hakuna baya aliloongea uelewa wa Africa ni mdogo sana.
Sasa huoni by default kusema hivyo unamaanisha hata yeye mtoa statement ana uelewa mdogo ? au yeye sio Mu-africa ?

Anyway sidhani kama alimaanisha kutoisema Africa kwa makusudi sababu inajulikana by default Morocco ina represent CAF..., na hio ni through excitement being politically correct and knowing kwamba yeye na waafrica wenzake uelewa wao mdogo basi angeweka tu na hilo neno na sasa hivi huenda watu wangekuwa wanaongelea mechi na Portugal...
 
Huyo Boufal sijui Bouffon kazingua. Katugawa. Hapa Waafrika wangekua wanaongea mechi ya kesho kutwa dhidi ya portugal.

All in all ni livuta bangi moja ivi lihuni halijui liongee nini liache nn. Halina busara. Hata kama humpendi jirani yako kuna ile salamu ya kinafiki na kujichekesha flani iv maisha yasonge. Sasa lenyewe limeshindwa kufuata busara ya kocha wake.

In nutshell, tuwa support wa Morocco. Ni wawakilishi wa bara la Africa. Hata hao akna ufaransa, Uingereza, n.k wametuchapa viboko sana na wanaendelea kututawala. Wote waovu tu.
 
Watu weusi ni wapuuzi sana, siku zote wao hutumia nguvu nyingi kwenye issue za kipuuzi sana Povu sasa la nini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom