[/quote]watanzania mbona hatutaki kuwa wa kweli? Kama ndio hivi ipo kazi ya ziada yakufanya, ukweli cuf igungu wananafasi kubwa ya kushinda semeni ukweli hata kama unauma. Ushabiki wa chama na halihalisi ya mambo tofauti kabisa, muache uongo wacheni wanaigunga wachague wenyewe, cuf jipangeni vinzuri kwenda kumnadi huyu bwana anauzika na sisi vijana wa igungu tuko nyuma yenu. Lengo letu nimaendeleo sio vinginevyo na amini kijana mwezetu anaweza