Leopard Mahona - Mgombea wa CUF mwenye ushawishi atakayeibuka kidedea jimbo la Igunga

mtutuma

Member
Jun 6, 2011
18
7
leopard mahona - mgombea wa cuf mwenye ushawishi atakayeibuka kidedea jimbo la igunga; umri; miaka 29. elimu; stashada ya biashara na uongozi. uzoefu wa kazi; mratibu wa shirika la world vision – igunga kwa miaka 2. kazi ya sasa; mratibu wa shirika moja la kidini(halikupatikana) – dar es salaam. asili yake na taarifa za wazazi; 1. mzaliwa wa igunga na amesoma na kukulia igunga.2. wazazi wote ni walimu wa shule za msingi tarafa ya nsimbo – igunga. wasifu wa kisiasa; 1. mgombea pekee wa upinzani jimbo la igunga mwaka 2010 aliyefanikiwa kushinda vishawishi vya pesa na kukataa kuondoa jina lake na kumwachia rostam kama walivyofanya wenzake 12.2. alipata zaidi ya kura 11,000 katika uchaguzi huo lakini alishindwa kutokana na uwezo mdogo wa kifedha aliokuwa nao. kukubalika; anakubalika sana na watu wa rika zote katika jimbo la igunga. uwezo; anajiamini sana na uwezo mkubwa wa kujenga hoja thabiti. Ana uwezo wa kusimamia maamuzi yake na ya majukumu aliyotumwa.kwa nini atashinda; 1. ndiye mgombea pekee kijana, katika siasa za sasa za upinzani kijana anauzika mapema kuliko wazee.2. washindani wake kutoka ccm na chadema ni wazee na wataenda kulala bungeni jambo ambalo limewachosha wananchi kwa sasa.3. watu wa igunga wanahitaji mwakilishi watakayemtuma huku na kule na asichoke, washindani wake hawawezi mbio hizo kutokana na umri.4. alifanya kampeni jimbo zima mwaka jana 2010.5. anafahamika kwa wananchi kuliko wagombea wenzake.6. cuf imejipanga vizuri kumnadi na kuhakikisha anashinda jimbo la igunga.7. cuf ina nguvu kubwa igunga kuliko chadema na ccm9 ccm ina mtandao dhaifu kwani rostam alijijenga yeye kama yeye).naomba kuwasilisha.
 
Attachments

  • DSCN1372.JPG
    DSCN1372.JPG
    339.4 KB · Views: 70
Au ndo wewe mwenyewe nn?? Kwa hiyo kama akishinda wazee wa igunga imekula kwao! Manake ulivyoandika ...naona umetumwa
 
huyu jamaa anakubalika sana igunga 2010 alifanya kampeni kwa baiskeli na wanainchi walimuunga mkono, inahitajika support ya cuf waweze kulitwaa jimbo.
 
leopard mahona - mgombea wa cuf mwenye ushawishi atakayeibuka kidedea jimbo la igunga;umri; miaka 29.elimu; stashada ya biashara na uongozi.uzoefu wa kazi; mratibu wa shirika la world vision – igunga kwa miaka 2.kazi ya sasa; mratibu wa shirika moja la kidini(halikupatikana) – dar es salaam.asili yake na taarifa za wazazi; 1. mzaliwa wa igunga na amesoma na kukulia igunga.2. wazazi wote ni walimu wa shule za msingi tarafa ya nsimbo – igunga.wasifu wa kisiasa; 1. mgombea pekee wa upinzani jimbo la igunga mwaka 2010 aliyefanikiwa kushinda vishawishi vya pesa na kukataa kuondoa jina lake na kumwachia rostam kama walivyofanya wenzake 12.2. alipata zaidi ya kura 11,000 katika uchaguzi huo lakini alishindwa kutokana na uwezo mdogo wa kifedha aliokuwa nao.kukubalika; anakubalika sana na watu wa rika zote katika jimbo la igunga.uwezo; anajiamini sana na uwezo mkubwa wa kujenga hoja thabiti. Ana uwezo wa kusimamia maamuzi yake na ya majukumu aliyotumwa.kwa nini atashinda; 1. ndiye mgombea pekee kijana, katika siasa za sasa za upinzani kijana anauzika mapema kuliko wazee.2. washindani wake kutoka ccm na chadema ni wazee na wataenda kulala bungeni jambo ambalo limewachosha wananchi kwa sasa.3. watu wa igunga wanahitaji mwakilishi watakayemtuma huku na kule na asichoke, washindani wake hawawezi mbio hizo kutokana na umri.4. alifanya kampeni jimbo zima mwaka jana 2010.5. anafahamika kwa wananchi kuliko wagombea wenzake.6. cuf imejipanga vizuri kumnadi na kuhakikisha anashinda jimbo la igunga.7. cuf ina nguvu kubwa igunga kuliko chadema na ccm9 ccm ina mtandao dhaifu kwani rostam alijijenga yeye kama yeye).naomba kuwasilisha.

kwenye Red PL hukusoma? primes zinatofautiana na conclusion pole sana jipange uje upya bila kutumia masaburi yako kuwaza na kuandika..
CCM-B a.k.a. magamba B hamna lolote.
 
mgombea atakayeshinda ni yule atakayepata kura nyingi kuwashinda wagombea wenzake. ukijana, oh kampeni mwaka jana, ooh anajiamini sana, ooh anaweza kusimamia maamuzi yake, mbwembe tu hizo, wapiga kura wana chaguo lao mioyoni mwao. wahenga walisema, ganda la muwa la jana chungu kaona kivuno!!!!
 
CUF au CCM B, tuondolee upumbavu hapa, ushawishi kanywe naye chai
 
Me nasubiria kutangazwa kwa matokeo tu,so far kwa sifa zake ni nzuri
 
Swala la kuwa kijana siyo hoja' hebu ona wabunge vijana wa ccm hovyo kabisa'(Job Lusinde,Mwigulu,Zainabu Kawawa,n.k) wanaoandaa vijana ni Chadema tu hata ukali wa akina Kafulila waliupata wakiwa Chadema.Swala la kushinda kisa aligombea 2010 halipo! Kama ni hvyo Lipumba angekuwa rais wa nchi hii amegombea tangu 1995 ,wanaigunga kama wataamua kuchagua Upinzani chadema ndio chama peke cha upinzani kwa sasa hata wao wanajua.
 
leopard mahona - mgombea wa cuf mwenye ushawishi atakayeibuka kidedea jimbo la igunga; umri; miaka 29. elimu; stashada ya biashara na uongozi. uzoefu wa kazi; mratibu wa shirika la world vision – igunga kwa miaka 2. kazi ya sasa; mratibu wa shirika moja la kidini(halikupatikana) – dar es salaam. asili yake na taarifa za wazazi; 1. mzaliwa wa igunga na amesoma na kukulia igunga.2. wazazi wote ni walimu wa shule za msingi tarafa ya nsimbo – igunga. wasifu wa kisiasa; 1. mgombea pekee wa upinzani jimbo la igunga mwaka 2010 aliyefanikiwa kushinda vishawishi vya pesa na kukataa kuondoa jina lake na kumwachia rostam kama walivyofanya wenzake 12.2. alipata zaidi ya kura 11,000 katika uchaguzi huo lakini alishindwa kutokana na uwezo mdogo wa kifedha aliokuwa nao. kukubalika; anakubalika sana na watu wa rika zote katika jimbo la igunga. uwezo; anajiamini sana na uwezo mkubwa wa kujenga hoja thabiti. Ana uwezo wa kusimamia maamuzi yake na ya majukumu aliyotumwa.kwa nini atashinda; 1. ndiye mgombea pekee kijana, katika siasa za sasa za upinzani kijana anauzika mapema kuliko wazee.2. washindani wake kutoka ccm na chadema ni wazee na wataenda kulala bungeni jambo ambalo limewachosha wananchi kwa sasa.3. watu wa igunga wanahitaji mwakilishi watakayemtuma huku na kule na asichoke, washindani wake hawawezi mbio hizo kutokana na umri.4. alifanya kampeni jimbo zima mwaka jana 2010.5. anafahamika kwa wananchi kuliko wagombea wenzake.6. cuf imejipanga vizuri kumnadi na kuhakikisha anashinda jimbo la igunga.7. cuf ina nguvu kubwa igunga kuliko chadema na ccm9 ccm ina mtandao dhaifu kwani rostam alijijenga yeye kama yeye).naomba kuwasilisha.

Umesomeka. Ingawa inashangaza kwamba unamfanyia kampeni mtu usiyefahamu anafanya kazi gani kwa sasa. Kama ndivyo hata huu wasifu wake tutautilia mashaka kama ni wa kweli kiasi gani.

Au ndo wewe mwenyewe nn?? Kwa hiyo kama akishinda wazee wa igunga imekula kwao! Manake ulivyoandika ...naona umetumwa

Hata kazi yake huijui.

huyu jamaa anakubalika sana igunga 2010 alifanya kampeni kwa baiskeli na wanainchi walimuunga mkono, inahitajika support ya cuf waweze kulitwaa jimbo.

kwenye Red PL hukusoma? primes zinatofautiana na conclusion pole sana jipange uje upya bila kutumia masaburi yako kuwaza na kuandika..
CCM-B a.k.a. magamba B hamna lolote.

mgombea atakayeshinda ni yule atakayepata kura nyingi kuwashinda wagombea wenzake. ukijana, oh kampeni mwaka jana, ooh anajiamini sana, ooh anaweza kusimamia maamuzi yake, mbwembe tu hizo, wapiga kura wana chaguo lao mioyoni mwao. wahenga walisema, ganda la muwa la jana chungu kaona kivuno!!!!

CUF au CCM B, tuondolee upumbavu hapa, ushawishi kanywe naye chai

Wakuu ndio kampeni zenyewe hizo wala msimshangae huyu mdau kuleta hii habari. Chama kitakachojipanga vizuri kuanzia mwanzo hadi mwisho ndicho kitaibuka mshindi.
 
Swala la kulala halina uzee kuna wazee kibao bongeni wa upinzani walikuwa hawalali mfano Dk Slaa na Ndesamburo kulala ni kwa wale walioridhika na siasa uchawara i.e waze wa Magamba
 
Angeweza akashinda, ila kwa tiketi ya CUF sahau, hawa ni mamluki wa ccm, na hapo kusema kweli ndipo CUF walipojichanganya
 
mahona ni mgombea mzuri na wana mpenda wakazi wa igunga nimetoka tu majuzi igunga nimewasikia wakazi wa igunga wakimsifu huyu kijana.
 
Mtatuchukia CUF bure lakini tunajipanga sana na kwa hakika mtaona what is going to happen, hapa siyo busanda, tumejipanga vya kutosha na mgombea wetu anauzika, leteni wagombea wenu kutoka CCM 'A' na CCM 'C' muone what is going to happen. Mahona is going to make it!
 
cdm wana kisokolokwinyo na cuf, cuf ndio imetoka hivyo breki hadi ikulu, kama maandamano cuf wameishafanya na hayana tija , nyie bakieni na siasa za maji taka.
 
Kwani ameshachukua fomu na kutangazwa na msimamzi wa uchaguzi wa jimbo hilo kuwa ni mgombea halali wa CUF.

Kuna mchakato hapo kuweni na subra mapaka atakapotangazwa na msimamizi wa uchaguzi kuwa ni mgombea wa ubunge kupitia chama fulani
 
mtanange huko utakuwa mkali kati ya cuf na cdm hawa ndio watakaokuwa na siasa za kukandiana, tutegemee vilema, watu watatekwa na kuolewa, magari kuvunjwa vioo, dalili zote zipo wazi.
 
Back
Top Bottom