Leo tujifunze lugha teule ya Kiswahili

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,318
33,125
Leo tujifunze lugha teule ya Kiswahili.

HP-pc-big.jpg


1. password- Nywila.
2. juice - sharubati.
3. chips - vibanzi.
4. PhD - uzamifu.
5. Masters - uzamili.
6. Degree - shahada.
7. Diploma - stashahada.
8. Certificate - Astashahada.
9. keyboard - kicharazio.
10. scanner - mdaki.
11. Flash disk - diski mweko.
12. Mouse - kiteuzi.
13. Floppy disk - diski tepetevu.
14. Computer virus - mtaliga.
15. Distillation- ukenekaji.
16. Evaporation - mvukizo.
17. Synthesis- uoanishaji.
18. Oesphagus- umio.
19. Green house - kivungulio.
20. Femur - fupaja.
21. Germ cell - selizazi.
22. Humus - mboji.
23. Nector - mbochi.
24. Nector - Ntwe.
25. Nutrients - virutubisho.
26. Appetizers - vihamuzi.
27. ATM - Kiotomotela.
28. Bussiness card - kadikazi.
29. scratch card - kadihela.
30. simcard - kadiwia/mkamimo.
31. memory card - kadi sakima.
32. micro wave - Tanuri ya miale.
33. Laptop - kipakatarishi.
34. power saw - msumeno oto.
35. Duplicating machine - kirudufu.
36. photocopier- kinukuzi.
37. cocktail party - Tafrija mchapulo.
38.Air conditioner- Kiyoyozi.
39. lift- kambarau
 
Leo tujifunze lugha teule ya Kiswahili.

View attachment 332744

1. password- Nywila.
2. juice - sharubati.
3. chips - vibanzi.
4. PhD - uzamifu.
5. Masters - uzamili.
6. Degree - shahada.
7. Diploma - stashahada.
8. Certificate - Astashahada.
9. keyboard - kicharazio.
10. scanner - mdaki.
11. Flash disk - diski mweko.
12. Mouse - kiteuzi.
13. Floppy disk - diski tepetevu.
14. Computer virus - mtaliga.
15. Distillation- ukenekaji.
16. Evaporation - mvukizo.
17. Synthesis- uoanishaji.
18. Oesphagus- umio.
19. Green house - kivungulio.
20. Femur - fupaja.
21. Germ cell - selizazi.
22. Humus - mboji.
23. Nector - mbochi.
24. Nector - Ntwe.
25. Nutrients - virutubisho.
26. Appetizers - vihamuzi.
27. ATM - Kiotomotela.
28. Bussiness card - kadikazi.
29. scratch card - kadihela.
30. simcard - kadiwia/mkamimo.
31. memory card - kadi sakima.
32. micro wave - Tanuri ya miale.
33. Laptop - kipakatarishi.
34. power saw - msumeno oto.
35. Duplicating machine - kirudufu.
36. photocopier- kinukuzi.
37. cocktail party - Tafrija mchapulo.
38.Air conditioner- Kiyoyozi.
39. lift- kambarau
Asante pua ni vema tujifunze kutumia maneno haya:SANJARI watu wengi wanatumia neno hili kwa maana ya sambamba ili hali neno hili maana yake nyuma ya,BAHATI MBAYA katika kiswahili hakuna neno bahati mbaya au bahati nzuri,ukishataja bahati basi ujue kuwa ni kitu kizuri,hivyo bahati hutumika kuelezea kitu kizuri sasa haiwezi kuambatana na neno mbaya,WAHANGA, mhanga ni mtu aliyekufa kwa ajili ya kuokoa watu wengine,hivyo haiwezekani ulasema huyu ni mhanga wa ajali ya gari wakati akiwa hai,kumbuka mara zote mhanga ni kwa hiyari yake anakubali kupoteza maisha yake,sasa haiwezekani kusema kuwa huyu ni mhanga wa ajali ya gari,hakuna mhanga aliye hai
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom