Leo nimeokoka na kumkabidhi Yesu maisha yangu

Lyrics Master

JF-Expert Member
Apr 2, 2016
470
621
Habarini ndugu zangu,

Leo bila kushurutishwa na mtu yoyote nimeenda kuombewa Sala Ya Toba kanisani Tabata Segerea.

Baada ya kuhangaika na maisha ya Ujana nikaona ni vyema kumpokea Bwana Yesu na kumtumikia kabla hazijaja siku zilizo mbaya.

Ndugu zangu walokole naombeni mniombee safari yangu ya wokovu isiishie njiani.

Mbarikiwe Sana
 
Hongera sana!

Uhusiano WAKO ni wa muumba na wewe sio wa kanisa unalosali na wewe!!

Imani yako wekeza KWA Mungu aliekuita sio kwa mchungaji wala mshirika aliejazwa ROHO!

COZ

Hakuna mwenye ujasiri huuu hapa:-

"Nifuateni Mimi kama ninavomfuata kristo"maneno ya paulo hayo!

Ukiona mtumishi wa Mungu kakuambia "unifuate mimi kama ninavomfuata kristo"muangalie mara mbili mbili !!!

ISHI MAISHA YAKO KWA kadiri Mungu alivokuita!

HIVYO tu YAANI!
 
Hivi mnajua Endocrine System inavyofanya Kazi? Na tena mnajua Hormones System inavyofanya Kazi?

Kama Systems zote zikiwa corrupted, usidhani ni rahisi tu kiivyo...eti kwenda kwà Mchungaji na kisha akwambie urudie Maneno....afu eti hapo hapo uwe umeacha kila kitu,...aaah sio kweli bhana!

Wokovu ni personal, tena ni gradual process, ina maumivu MAKALI, ya kujikana. I mean, kuwa humble mpaka Neema ya Mungu ikujiilie katika systems zako za Mwili.

Note: Bora utamkiwe maneno hayo na Mchungaji ambae Systems zake haziko corrupted. Lakini hawa wa sasa. Mmmhhh, vina muda basi. Haya tutaona!
 
Habarini ndugu zangu,

Leo bila kushurutishwa na mtu yoyote nimeenda kuombewa Sala Ya Toba kanisani Tabata Segerea.

Baada ya kuhangaika na maisha ya Ujana nikaona ni vyema kumpokea Bwana Yesu na kumtumikia kabla hazijaja siku zilizo mbaya.

Ndugu zangu walokole naombeni mniombee safari yangu ya wokovu isiishie njiani.

Mbarikiwe Sana

Hongera...umechagua fungu lililo jema
 
Habarini ndugu zangu,

Leo bila kushurutishwa na mtu yoyote nimeenda kuombewa Sala Ya Toba kanisani Tabata Segerea.

Baada ya kuhangaika na maisha ya Ujana nikaona ni vyema kumpokea Bwana Yesu na kumtumikia kabla hazijaja siku zilizo mbaya.

Ndugu zangu walokole naombeni mniombee safari yangu ya wokovu isiishie njiani.

Mbarikiwe Sana
Bwana Yesu asifiwe mtumishi. Karibu sana kundini.
 
Habarini ndugu zangu,

Leo bila kushurutishwa na mtu yoyote nimeenda kuombewa Sala Ya Toba kanisani Tabata Segerea.

Baada ya kuhangaika na maisha ya Ujana nikaona ni vyema kumpokea Bwana Yesu na kumtumikia kabla hazijaja siku zilizo mbaya.

Ndugu zangu walokole naombeni mniombee safari yangu ya wokovu isiishie njiani.

Mbarikiwe Sana
umkabidhi maisha mwanaume mwenzio! tafuta kwa jasho lako
 
Hongera! Ila naona kama unataka kuchota watu humu!Kama kweli umeokoka usingekuja humu kutuambia lengo lako Nini?Wokovu ni ndani ya moyo wako na sio masimulizi hiyo safari ni ngumu inahitaji Roho mtakatifu akusimamie haswa vinginevyo wimbi kidogo TU chali.
 
Back
Top Bottom