Leo ni leo- Pacquiao Vs Hatton!

Bora machale yalinicheza na kutoagiza pambano hili maana ningeliwa ha ha ha. Sasa kama watamweka pesa nzuri Mayweather mezani kama $40 millioni au hata zaidi basi wanaweza kumshawishi arudi ulingoni ili achapane na mphillipines Pacquiao. Hili litakuwa pambano zuri sana na litavunja rekodi ya mapato katika Ulimwengu wa ndondi. Haya watu wataingia kazini kuanza kumuonyesha Bulungutu Mayweather, kama dau litakuwa zuri nina hakika Mayweather atarudi tena kuwaburudisha wapenzi wa masumbwi duniani.
 
Mayweather anarudi na anapambana na Juan Manuel Marquez mwezi wa saba....akishinda hilo best believe kuwakuwa na showdown na Manny baadae mwaka huu
 
Sidhani kama kuna boxer kwenye ulimwengu wa sasa atakaeweza kumpiga Manny, hata mshindi wa Maywether Marquez hataweza! Huyu jamaa akitaka kupanda hata kwenye heavy weight atachukua mataji ya kina Kilitsichko.
I must say- Good prediction Nyani, lakini it was a suprise hata kwa wale ambao walitarajia kuwa Manny angeshinda kwa nockout kwa kuwa ilitokea rounds za mwanzo sana.Nadhani Hatton inabidi astaafu sasa, kipigo cha jana naamini kitamfanya asiwe hata na hamu ya kusogelea ukumbi wa ngumi.
 
Sijui kwa nini baadhi ya watu walidhani Manny atapata shida kumnyuka Ricky. Ricky hana skills. Ni one dimensional fighter na ndio maana kwenye pambano hili alimuajiri Floyd Mayweather Sr. ili boxing skills zake. Yeye zake ni kuja mbele tu sasa unategemea nini?

Kiboko ya Manny ni Mayweather tu
 
Amtake Hatton kwa nini wakati tayari keshamnyuka? Money Mayweather katoka kwenye retirement because he's pissed off right. He's pissed off that the pundits aren't regarding him as the pound for pound king anymore so he wants to go and shut every pundit's mouth about who the pound for pound king is.

I still got my money on Money Mayweather. His arsenal of skills is far better...superior to that of the Pacman. Plus, Money Mayweather has the physical size advantage over Manny. Mayweather will be too much for Manny.

agreed... but that's what Moneyweather wished for--maybe he thought Manny wouldn't win as his [moneyweather] uncle was on Fatten's corner!!!!

Remember Roche trained Moneyweather and Manny!!! Its gonna be a blast; but wait!!!! he has to beat someone first... with only two months on the line, i think Moneyweather is rushing back too soon and he may get served

time will tell

BAK,

Sina regrets bwana kuwapigia cable na kuangalia mpambano. Undercards zilikuwa nzuri hasa yule Mcuba Lara na Mrusi. Danny Jacobs si mbaya sana ingawa alikutana na Jembeulaya!

Hatton, amekwisha, kidevu cha yai!
 
Yaah, ni kweli Rev, mapambano ya utangulizi kidogo yanapunguza uchungu wa hela tuliyolipa, ila mimi namsubiri Ricky arudi nimdai pound 15 zangu- nimeanza kutafuta namba yake ya simu! nimekesha usiku mzima kumsubiri afu anapigwa within 6 minutes? hili pambano lilinikumbusha sana enzi zile tukikeshea mapambano ya Tyson!
 
mayweather kwa sababu ya taxes,will get back in the ring,lets hope he is back to his best,otherwise akiwa ringrusty pacquiao atapiga vibaya.Hatton i am sorry to say ni brawler au streetfighter with no brains punde ukimkutanisha na boxer he is in trouble.me i blame the british press for selling us a pup,telling us how good he is while in fact he is zero.the best for him now is to hang up his gloves
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom