Leo ni leo huku kwetu Arusha (Mkutano wa CHADEMA)

Chadema sio chama cha kwanza kuwafukuza wasaliti ila wa kwanza ni TANU so amemuomba waziri mkuu awe na kumbukumbu na sio kuropoka bungeni amesema Tundu Lusu.
 
Nasikia zile fuso za CDM zinafanya kazi yake zinasomba watu kila kona!
Watu wamekusanywa wanapewa chakula na bahasha ya kaki ndani kuna 500, kuna shamrashara kupita kiasi vijana ambao hawana kazi ndio wengi
Naombeni watu wa Nape mnitafute niwafundishe online propaganda, kwenye bold kwa mawazo yako unafikiri unakipaka matope CDM kionekane wafuasi wake ni wale wasio na kazi kumbe unaidhalilisha serikali na chama tawala na kuifanya CDM kipate sympathy kwa ku host na kujali unemployment class, poleni sana muelewe propaganda ina somo lake special you have to be careful when making comments on these issues you might be damaging your own part (party) matokeo yake mnabaki kulia JF ni ya CDM.
 
Sasa anaongea Mch. Peter Msigwa na ndio mwenyeji kwa mujibu wa mkutano wa Leo!
 
mkuu umeonaee? bora uwakumbushe wewe! picha moja tu! sijui leo ma'reporter wetu wananini!
Bado wanasomba watu na mafuso ya CDM wakijaa watakuwekea! chama cha siasa kinakwenda kununua Mafuso kumbe kazi yake ndio hiyo
 
Siku ile picha zilikuwa zinatiririka kiasi cha kutosha hadi sisi tuliokuwa mbali tukajihisi kuwa uwanjani.

Sasa hawa wakuu leo sijui imekuwaje, ama leo kuna matukio ya kuchangamsha hadi wote wameshindwa kurusha picha??

Anyway, ngoja tuvute subira kidogo, huenda wakakumbuka.
HTML:


Mkuu baadhi ya makamanda hawakupata nafasi kuwepo huko leo, lakini naamini Crashwise atarusha soon.
 
hatimaye ule mkutano mkubwa na wa ukweli wa chama chetu cha Chadema utafanyika leo hapa a.town so hivyo jamani kaeni mkao wa kula natumai tutatoa kila tukio tutalileta hapa jamvini.peopleeeeeeeeeeeeeees
Najua docta Slaa na wenzake wanakubalika sana A-town,Lakini naamini watakuwa wanachukua kila tahadhari inayo hitajika dhidi ya mamluki wa nape!(Japo kuna mtu humu jamvini aliwahiu kusema kuwa Dr. Slaa analindwa na JK!).
 
mwisho wa chadema hauko mbali. wamewatoa hao madiwani kwa upanga na wao watatolewa kwa upanga. historia hujirudia.

Acha uzushi,hakuna upanga wala panga lililotumika dawa ya snitch ni kuwatosa wasije wakawaambukiza wengine usinitch wao.hilo dua la kuku kamwe halimpati mwewe
 
Bado wanasomba watu na mafuso ya CDM wakijaa watakuwekea! chama cha siasa kinakwenda kununua Mafuso kumbe kazi yake ndio hiyo

we endelea kuweweseka tu, chadema imewabana pumzi mnatweta kama vifutu.

mlikuwa mnatabiri kwamba mkutano hautafanyika, sasa unafanyika mnaendelea kubwabwaja.
 
mkuu hukutuambia kama tayari ulikuwa tahrir square umweshaanza mambo,tuko tayari kwa sapoti

mkuu juzi nimekaa sana hapo mnazi mmoja, leo ningekuwa arusha ningehamasisha watu wasiondoke tulianzishe, kupata umati mkubwa kama huo ni nadra sana, ni wakati mzuri wa kutumia.
 
hivi kusema sasa anaongea peter msigwa....sasa anaongea mpendazoe....sasa anaongea mtema....inatosha?????

kwa nni hamtwambi wanaongea juu ya nini mbona ghost ryder huwa anaripoti vizuri sana toka bungeni? mpaka anaweka na hansard!!!
 
sasa zamu y a heche wenyekiti cdm taifa anamwembia kikwete atadhimini nchi inavyo kwenda pia ana chambua bendera ya cdm nyekundu inaonyesha mashujaa waliopoteza maisha kupigania tanzania NYEUSI inawakilisha utanzania halisi BLUU inaonyesha utii kama mbingu ilivyo na mwisho NYEUPE uwajibikaji democrasia ya kweli
 
Back
Top Bottom