Leo ni leo huku kwetu Arusha (Mkutano wa CHADEMA)

Tumekusoma vizuri mkuu. Tunaomba mtujuze yote yatayojiri huko kupitia kwa makamanda wetu wapiganaji.

Big up sana Chadema, my inborn party, chama ambacho hakina uhusiano na magamba.

Chama makini sana!
na sisi madiwani tuliofukuzwa chadema tutafanya mambo yafuatayo:
1. tutakwenda mahakamani kupinga udikteta uliofanywa na viongozi wa chadema kutufukuza chaguo la wana Arusha

2. tutaandaa mkutano mkubwa jijini arusha ili kujibu mapigo ya mkutano wa leo pia kuwaeleza wananchi kinaga ubaga nini kinaendelea ndani ya chadema, na mchakato wa uchaguzi ulivyoenda na maovu yanayofanywa na Lema kuhujumu Arusha

Hongera kwa kazi kubwa hiyo. Usijibu mapigo bali ueleze unachotaka kuwaambia wananchi.

Makamanda wote wa A-town mtakaohudhururia kwenye mkutano natoa wito kwenu, tafadhali sana mtulie ili magamba wasijepata kisingizio kuwa taharifa za kiintelejensia zinabashiri kuwa mkutano wa CDM utahatarisha amani.

Mapambano yanaendelea tuko pamoja mpaka kieleweke., kwa sababu Mungu siku zote amekuwa mtetezi kama Chadema walivyo.

na sisi madiwani tuliofukuzwa chadema tutafanya mambo yafuatayo:
1. tutakwenda mahakamani kupinga udikteta uliofanywa na viongozi wa chadema kutufukuza chaguo la wana Arusha

2. tutaandaa mkutano mkubwa jijini arusha ili kujibu mapigo ya mkutano wa leo pia kuwaeleza wananchi kinaga ubaga nini kinaendelea ndani ya chadema, na mchakato wa uchaguzi ulivyoenda na maovu yanayofanywa na Lema kuhujumu Arusha
Mhakikishe FFU siku hiyo wako wa kutosha tena itabidi mkachukue CCP maana kibano mlicho koswakoswa juzi safari hii mtakipata tena nawashauli mfanyie kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid ili polisi waweze kufanya kazi ya ulinzi kirahisi....

3. Kisha tutarudi kwenye chama chetu kipenzi CCM kwa mbwembwe

mwisho wa chadema hauko mbali. wamewatoa hao madiwani kwa upanga na wao watatolewa kwa upanga. historia hujirudia.

Mhakikishe FFU siku hiyo wako wa kutosha tena itabidi mkachukue CCP maana kibano mlicho koswakoswa juzi safari hii mtakipata tena nawashauli mfanyie kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid ili polisi waweze kufanya kazi ya ulinzi kirahisi....

Labda watakuja na jinsi gani walivyopokea mlungula uliowapelekea kushindwa kufuata maagizo ya ngazi ya juu, hawa majamaa ninachojua ni kifo cha mfa maji. Poleni Mallah na wenzako!!!!!!!!!!!!!!!

Mhakikishe FFU siku hiyo wako wa kutosha tena itabidi mkachukue CCP maana kibano mlicho koswakoswa juzi safari hii mtakipata tena nawashauli mfanyie kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid ili polisi waweze kufanya kazi ya ulinzi kirahisi....

ushauri ulioenda shule huu! nashauri hao madiwani waombe na ulinzi binafsi mtaani.

Tunawasihi sana makamanda mtulie ili lengo litimie. Na kama wataanzisha fujo basi wawe ni wafuasi wa magamba na wakipate cha mtema kuni papo hapo. Najivunia and I'm proud 2 be CDM Affiliater.

na sisi madiwani tuliofukuzwa chadema tutafanya mambo yafuatayo:

1. tutakwenda mahakamani kupinga udikteta uliofanywa na viongozi wa chadema kutufukuza chaguo la wana Arusha

2. tutaandaa mkutano mkubwa jijini arusha ili kujibu mapigo ya mkutano wa leo pia kuwaeleza wananchi kinaga ubaga nini kinaendelea ndani ya chadema, na mchakato wa uchaguzi ulivyoenda na maovu yanayofanywa na Lema kuhujumu Arusha

Huo mkutano madhumuni yake kujinadi kuomba kura uchaguliwe au unataka kujutia makosa yako, unacho cha kujifunza kwa methali (mfa maji haachi kutapata) kwishney

kwa wale waliobahatika kufika kwa mikutano ya jana dah inashangaza kupata tepu ya ................. akiongea na kigogo mmoja wa mahakama kutoa cort junction ili kuzuia baadhi ya mabo kujadiliwa kwa mkutano wa leo na hata kudiriki kusema kuwa atatoa kitu kidogo kuwalinda mabazazi wa rushwa we jongea kunako mkutano wa leo upate utamu

Back
Top Bottom