Leo ni leo huku kwetu Arusha (Mkutano wa CHADEMA)

Tupo pamoja wana Arusha tupo pamoja na nyinyi katika mapambano ya kusimamia ukweli na kutafuta ukombozi wa mtanzania.VIVA CHADEMA.

hatimaye ule mkutano mkubwa na wa ukweli wa chama chetu cha Chadema utafanyika leo hapa a.town so hivyo jamani kaeni mkao wa kula natumai tutatoa kila tukio tutalileta hapa jamvini.peopleeeeeeeeeeeeeees

Poweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeerrrrr.

na sisi madiwani tuliofukuzwa chadema tutafanya mambo yafuatayo:
1. Tutakwenda mahakamani kupinga udikteta uliofanywa na viongozi wa chadema kutufukuza chaguo la wana arusha

2. Tutaandaa mkutano mkubwa jijini arusha ili kujibu mapigo ya mkutano wa leo pia kuwaeleza wananchi kinaga ubaga nini kinaendelea ndani ya chadema, na mchakato wa uchaguzi ulivyoenda na maovu yanayofanywa na lema kuhujumu arusha

do what you can..that is your personal interest....walioamua ni watu na mahakama ni watu pia....wewe mume huendani naye..then walazimisha ndoa...huumwi?

na sisi madiwani tuliofukuzwa chadema tutafanya mambo yafuatayo:

1. tutakwenda mahakamani kupinga udikteta uliofanywa na viongozi wa chadema kutufukuza chaguo la wana Arusha

2. tutaandaa mkutano mkubwa jijini arusha ili kujibu mapigo ya mkutano wa leo pia kuwaeleza wananchi kinaga ubaga nini kinaendelea ndani ya chadema, na mchakato wa uchaguzi ulivyoenda na maovu yanayofanywa na Lema kuhujumu Arusha

siku zote mlikuwa wapi kuyasema hayo ninyi walarushwa,wafikiria matumbo na msiyojari damu za wapiganaji waliopoteza maisha kwa kupigania haki,haki ya muarusha,haki ya mtanzania na haki ya ubinadamu.mlaaniwe wote mliopeana hongo pamoja na magamba.peopleiz power.

Saa nane ila watu wameshaanza kujaa huko NMC...pamoja na kwamba leo hari ya hewa Arusha ni manyunyu...

hiyo ni baraka kwani maji ni uwepo wa uhai wa viumbe wa Mungu duniani na ili vimtukuze.so mkutano unabaraka zote kutoka juu.mbarikiwe sana hiyo ni nguvu ya umma na ni nguvu ya Mungu.

People power,naomba mtujuze kita hatua inayoendelea juu ya ukombozi wa nchi yetu.

na sisi madiwani tuliofukuzwa chadema tutafanya mambo yafuatayo:
1. tutakwenda mahakamani kupinga udikteta uliofanywa na viongozi wa chadema kutufukuza chaguo la wana Arusha

2. tutaandaa mkutano mkubwa jijini arusha ili kujibu mapigo ya mkutano wa leo pia kuwaeleza wananchi kinaga ubaga nini kinaendelea ndani ya chadema, na mchakato wa uchaguzi ulivyoenda na maovu yanayofanywa na Lema kuhujumu Arusha

Watanganyika wa leo sio wajinga kiasi hicho. Kila mwenye akili timamu atajua tu kwamba ninyi ni maajenti wa chama cha magamba. Kwa hiyo mko kama mashetani kazi yenu ni kuvuruga na kutawanya tu hamna lolote. Lakini pia msifikiri kwamba watu wa Arusha nao ni wajinga. Wanaelewa mbichi na mbivu.

Hizo ni kauli za kujifariji mwisho, ukitaka kujua mwisho wa jambo angali wafuasi wake wengi wana umri gani ndiyo uje na mchango wa mawazo mazuri.

Tunasubiri wenye umri kama wa kwako ndugu yangu. Tunaona mnayowafanyia hawa vijana mpaka wanakuwa ombaomba wa ajira wakati wazazi wao wamejinyima kwa ajili ya kuwasomesha.

Nyinyi muendelee kuwa na wapiga mnanda tu, tunataka watu wenye taaluma za kuleta maandeleo, na wabunifu sio magamba na makelele tu. Chadema hawana makelele wanaangalia vitendo na utashi wa kufikiri.

Watu wanazidi kumiminika viwanja vya NMC, mwiitikio na hamasa ni vya hali juu sana. Tutazidi kujuzana yanayojiri hapa.

do what you can..that is your personal interest....walioamua ni watu na mahakama ni watu pia....wewe mume huendani naye..then walazimisha ndoa...huumwi?
swala sio maslahi ya mume au mke yanayoanagaliwa hapa, kinachoanagaliwa ni maslahi ya watoto ambao ni wana Arusha na jinsi wanavyoathirika kwa kutokupata maendeleo kwasababu ya chama kung'ang'ania kushughulikia matakwa ya mtu mmoja na kudharau ya walio wengi et kwa kuwa mtu huyo ni mbunge! kwa kifupi mmetangaza moto subirini uwawakie!

Tunaomba update za matukio pamoja na picha please, coz Gazet la uhuru walishatangaza kuwa wananchi wamegoma eti Mbowe amemsusia Lema maandamano. Najua Uhuru na ccm yake inawauma sana habari kama hizi. Big up CDM

gurtu HIZO NI HOJA NYEPESI SANA! NYIE NI KWELI SIO WAUNGWANA, SIO WAZALENDO NI SIO WA KWELI ! MAIL YAKO INAJIONESHA! MAOVU YAPI NA KWANINI HAYO UNAYOTAKA KUSEMA LEO KWANINI HUKUYASEMA MAPEMA!SHAWIN TAIP! NAJUA WE NI WAKUBUMBA ULIYEPOST HII HABARI LAKINI WALE ORIGINAL NDO NAWAAMBIA! NYIE NI WANAFIKI TENA TOOOOOOOOOOOOOKA!!!! MNATUALIBIA CHAMA!

Back
Top Bottom