Angalia wakati unaongea na wakwe usije ukajikuta umeanza kusinzia kama huyo jamaa kwenye avatar yako. Hawatakuelewa wakwe!
Tanga eh? kwanza Biriani halafu Buriani
Bwana mkubwa Fasouls, je umekubaliwa kumuoa huyo mchumba wako wa Tanga??? Wakati ukitafakari kama unipe jibu au hapana, nakupa hii katuni ikufundishe jinsi ya kumuelewa na kumfahamu kiumbe anayeitwa mwanamke.
lol unamtisha mwenzio.....utafanya aogope kunywa maji ukweni.hahaha, huwa wanalisha libwata ambalo utaishi maisha yako yote ukijua kuwa watu wa tanga pekee ndo wanajua mapenzi kuliko wote, ..kumbe kazi yao ni kuzungusha tu likiuno bila hata mpangilio...akizungukaaaaa weee bila hata manjonjo yeyote anafikir ndo kujua mapenzi...kuna watu wanatoka mikoani, wasomi wamesoma hadi kisomo namna ya kufanya majamboz ukikutana nao, hawaweki libwata lakini hutakuja uwaache...mimi mwanamke wa tanga simtaki...lakini kipenda roho hula nyama mbichi...
Ndugu Dotworld, nilipompa Ndugu Fasouls hiyo katuni ili imfundishe jinsi ya kumuelewa na kumfahamu kiumbe anayeitwa mwanamke, nilikuwa na maana huyu kiumbe ni complex zaidi ya maelezo.
"Women. They are a complete mystery."