Dijovisonjn
JF-Expert Member
- Nov 14, 2011
- 466
- 125
- Thread starter
- #21
Uongozi huwa hauna uzoefu..uzoefu ni propaganda ambazo hutumiwa na viongozi wasio waadilifu kulinda maovu yao...uzoefu wa kuiba au kunyonya wananchi bila kujua,kwa hili la uzoefu ni kitu ambacho ni unpredictable katika uongozi hata wakoloni walidai waafrika hawana uzoefu katika masuala ya uongozi.
Suala la kuongoza tofauti na utawala uliopita linatekelezeka na sio gumu hapa afrika.
Fuatilia Rwanda na Zambia kwa sasa!
By the way umechambua vizuri lakini bado nasisitiza utendaji wa CDM madarakani ni unpredictable sababu hatuna uhakika na personnel watakao kuwa wabunge kwa CCM labda new faces,the same thing to other parties...hapo utasema bunge linatabirika?
laiti kama wote tungekuwa tunachangia hoja kama wewe nadhan tungekuwa mbali.
Ndugu yangu nakubaliana na wewe kwa 100% ninachojaribu kuwaza hapa ni kama siku chadema nao wakishika dola, je wabunge wake wataendelea kuwasemea wananchi bungen kama wanavyofanya sasa hv?