Queen Kyusa
JF-Expert Member
- Apr 25, 2011
- 663
- 162
Hizi hoja huwa zinaniboa sana mtu anasema CDM wakishika nchi watakuwa kama ccm tu,wape nafasi then uone kama watakuwa kama Ccm au lakini huwezi leo kupredict uongozi wa cdm kwa kucompare na ccm utakuwa unakosea sana! hivyo ni vyama viwili tofauti kila kimoja kina sera zake kwahiyo kuitabiria cdm kwa kufuata mfumo wa ccm ni kukosa hoja!