Leo jioni naleta hapa free app ya kuangalia TV mbalimbali, kaeni tayari

Hii app labda manaokaa mjini,,kwangu ikikaa H+ naangalia dakika tano inastuck,,dakika tano zingine inastuck,,lbda uwe na 4G
 
nipo JF kwa zaidi ya miaka 9.
Asante sana ndugu yetu kwa kutusaidia maarifa, sasa naomba kujua yafuatayo..

1: Hizo link unazitumia kupitia device gani? ( a) kompyuta ( b) tv ( simu smartphone)?

2:Ukiwa unatumia receiver ya Zuku unaweza ukaiseti kupata free channel zaidi kwa kubadili position?

3: kama inawezekana unafanyaje na frequency zake pls.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee una uhakika na uliyoyasema hapa kweli au ni una chuki binafsi
 
Nafikiri mboreshe hiyo app yenu maana ina stuck mara kwa mara wakati mtandao upo imara,,
Hiyo namba yenu ya whatsup jaribuni kua active na mjibu maswali yetu wadau
Hongera kwa kua mbunifu kiongozi,fanyia kazi hayo
 
Tumeongeza channel 15 zingine, ambazo ni hizi zifuatazo
Local channel tumeongeza hizi
Star TV
Channel ten
kwa wapenzi wa movies tumeongeza hizi
AMC
Bollywood TV
Movies Now
MNX Movies
Mylife4U
Romedy Now
Reel Px Action
Reel Px Family
Reel Px Comedy
Reel Px Unlimited
Sony Pix
Star Movies
Filmbox
Nimeinstall app nikawasha vpn Sasa unaniambia kudownload tena nikijabkudownload siion tena
 
Back
Top Bottom