leo alikuwa mponda sijui kesho

MUREFU

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
1,331
350
naona sasa dar imekuwa sehemu ya migomo kila kukicha leo tulizuiwa njia kisa wafuasi wa shekhee mponda kesho sijui tutasimamishwa wapi kwenye foleni au kunajengo litachomwa maana sasa hivi dar haitabiliki kila siku visa vipya.usiku mwema waungwana tusisahau kuiombea nchi yetu maana inapokwenda sipo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom