Leo afadhali

hapa unaweka diet pembeni lol!! kweli vitu vilivyokatazwa ndo vinapendwa na vilivyo halalishwa watu hawataki., mfano mke kahalalishwa watu aahaaa wanapenda nyumba ndogo ambako ni imekatazwa lol!!
 
Viti vya Mercedez Benz vimetengenezwa kwa ngozi ya nguruwe lakini bado wenyewe wanayaagiza kibao.
Lip[ stick za mafuta ya nguruwe ndizo bora duaniani kote.
Sabuni za kuogea za bei mbaya hutengenezwa kwa mafuta ya PIG.
Acheni zenu
View attachment 62491
............................wa kunukuuuuu...........................
 
Jambo moja muhimu,
kula kiti moto na nyama zaidi ya average,
ni chanzo kimoja kikubwa cha magonjwa ya moyo na,
Kisukari.
Ni vema tuimarishe huduma za afya,
hasa huduma ya KINGA.
Kupimwa afya zetu iwe ndiyo utamaduni wetu mpya.
Zamani watu tulikuwa tukila nyama ya Pig mra moja kwa miezi 6,
sasa hivi tunakula kila jioni.
Fedha za Tiba tunajengea maghorofa,
sasa tukiugua sijui viambaza vitatutibu????!!!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom