Lema: Rais akiendelea kufikiri yeye ni Mungu basi Mungu atasitisha maisha yake kabla ya 2020

Status
Not open for further replies.
Sijawahi kusikia wala kuona Mungu anaomba kuombewa (Rais siyo Mungu)...!! Mungu hadhiakiwi. Msijitwishe dhambi za bure kuwa ninyi niwawakilishi wa mipango ya Mungu juu ya wenzenu.
hataki kukoselewa, sifa zote anataka apewe yeye ndo mana anafanishwa na mungu
 
Polisi mburuzeni mahakamani amlete huyo Mungu anayesema atamwuua Magufuli kama shahidi yake.Nakumbuka kesi moja mtu alisema alikosea sababu shetani ndiye aliyemsababishia hilo tatizo.Hakimu akasema kesi naipanga wiki ijayo ukamlete huyo shetani hapa mahakamani atoe ushahidi kuthibitisha hayo uliyosema.Mahakama huwa hazina dini kwa hiyo hazitambui Mungu KAMA KIUMBE kisichoonekana.

Huyo MUNGU aliyemsema Lema atamwua Magufuli anatakiwa Lema AMPELEKE mahakamani.
Jamhuri imkamate Lema imuweke ndani hadi atakapomleta huyo Mungu ambaye Lema ana uhakika atamwua Magufuli kabla ya uchaguzi.Kisheria inakubalika .Kamateni LEMA.Na kama hatamleta huyo MUNGU MAHAKAMANI AHESABIWE KUWA yeye ndiye muuaji mwenyewe.Na hao walioshangilia kusema na iwe hivyo wote kamata .

Hapana, Lema anaachwa aendelee kupayuka hayo maneno yake.

Kuna sababu maalum, lakini uko sahihi polisi wana kila sababu ya kumwita kituoni kwa mahojiano.
 
Polisi mburuzeni mahakamani amlete huyo Mungu anayesema atamwuua Magufuli kama shahidi yake.Nakumbuka kesi moja mtu alisema alikosea sababu shetani ndiye aliyemsababishia hilo tatizo.Hakimu akasema kesi naipanga wiki ijayo ukamlete huyo shetani hapa mahakamani atoe ushahidi kuthibitisha hayo uliyosema.Mahakama huwa hazina dini kwa hiyo hazitambui Mungu KAMA KIUMBE kisichoonekana.

Huyo MUNGU aliyemsema Lema atamwua Magufuli anatakiwa Lema AMPELEKE mahakamani.
Jamhuri imkamate Lema imuweke ndani hadi atakapomleta huyo Mungu ambaye Lema ana uhakika atamwua Magufuli kabla ya uchaguzi.Kisheria inakubalika .Kamateni LEMA.Na kama hatamleta huyo MUNGU MAHAKAMANI AHESABIWE KUWA yeye ndiye muuaji mwenyewe.Na hao walioshangilia kusema na iwe hivyo wote kamata .

Mbona Magufuli alisema angewapoteza wale waliokuwa wanamwimbia Kikwete tuna imani na Lowasa?, na yeye aelezee angewapoteza vipi?
 
Lema ameingia kwenye 18 za kitengo na nila shaka hawato mjibu ila watamuacha aropoke ili wamalize vizuri. Huwez kuongea maneno kama haya uachiwe lazima alipia garama
Hata Magu inawezekna,lakin,ni kosa kubwa rais kujifanya Mungu mtu
 
Mim nuliposoma tu nimecheka,nimecheka kwani kauli aliyoitoa niwachache wanaweza kuthubutu kuitoa,lkn kwa kuwa ndipo hapo huyo Magu alipowafikisha watu watafkiri na kuongea kulingana na matatizo wanayoyapata
 
Mbona Magufuli alisema angewapoteza wale waliokuwa wanamwimbia Kikwete tuna imani na Lowasa?, na yeye aelezee angewapoteza vipi?
""""""Mbona Magufuli alisema angewapoteza wale waliokuwa wanamwimbia Kikwete tuna imani na Lowasa?, na yeye aelezee angewapoteza vipi?""""""" hapa alimaanisha kwamba...ange waondoa uanachama kama lipumba anavyo pigiwa upatu na kama vile zito alipofukuzwa /ondolewa uanachama cdm....ilaaaa dah huyu lema katia foraaaa asseeeeeeeee mpaka nmekata pindi la saa 10..................
 
Kama unafuatilia hapa, hatuzungumzii kuhusu Lowasa, ni wewe ndiye unaeleta hayo.

Tuzungumzie tamko la Lema alilolitoa leo mbele ya umma wa wakzi wa jimbo lake.

Kumbuka, Lema ni mheshimiwa mbunge wa jimbo la Arusha mjini.
mkuki kwa nguruwe.

swissme
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom