MVUMBUZI
JF-Expert Member
- Jan 8, 2011
- 5,182
- 2,304
Kwa kukosa hekima na adabu angalia unatukana babu na bibi zako na baadhi ya ndugu zako kwani najua hawajaenda shule. Ina maana nao ni msosi wa wasomi pia?Hiyo ni mneno mbofumbofu, believe or not, Kilaza kama Lema hawezi fanya hiyo kitu mnaisema. Labda muwape posho wabunge wenu wote ili waende huko mnasema, lakini bado hawatafanikiwa. Hahahahahahaha, teh teh teh teh.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".