Lema: Nitawahamisha CCM hadi wajilaumu kunipa Likizo Bungeni

spencer

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
3,599
3,220
GreatThinkers,
Maneno haya wala si ya Spencer,yamesemwa na Kamanda Lema akiwa Rocky City.
Nusu ya watumishi wao nje ya bunge lazima awakwapue,na hiyo ndiyo kazi anayofanya nchi nzima.
Vuteni subira wiki hii mtashangaa Lema ni shujaa na ni mtoto wa mjini.
Anasema CCM kwishney, kilichobaki proper coordination either kuwachoma moto au kuwazika wakiwa hai. Lengo kuwatokomeza.
Tegeni maskio ndani ya hii wiki hakika Lema nimemvulia kofia.

Peoplessssssssssssssssss
 
Lema atembelee Dar, afanye mikutano 3 mikubwa. mmoja Kariakoo kwa wafanyabiashara wanaonyanyaswa na TRA wakati wakubwa wanakula hela!, mkutano wa pele uwe pale Tanganyika Packers ili watu wakumbushwe sera za 'ubinafsishaji' za ccm, na mkutano wa tatu uwe Jangwani - funga kazi.
 
Hiyo ni mneno mbofumbofu, believe or not, Kilaza kama Lema hawezi fanya hiyo kitu mnaisema. Labda muwape posho wabunge wenu wote ili waende huko mnasema, lakini bado hawatafanikiwa. Hahahahahahaha, teh teh teh teh.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
 
Ktk mambo ambayo ccm watajutia milele ni kumwacha lema awe free role! Gatuso alicheza free role kt ya man na AC MILAN kila m2 anajua kilicholili,Ronaldo alikabwa hadi akaonekana mbuzi tu!
 
Wewe unachoongea kiko nyuma ya wakati, hii siyo mwaka 1995 ambako Ari ya Umma ilikuwa kubwa zaidi ya Nguvu ya Umma.
Leo hii nguvu ya Umma inatisha kama unabishi waulize wametoka juzi Arumeru,Kirumba,kiwira,Songea na Tanga
 
Lema atembelee Dar, afanye mikutano 3 mikubwa. mmoja Kariakoo kwa wafanyabiashara wanaonyanyaswa na TRA wakati wakubwa wanakula hela!, mkutano wa pele uwe pale Tanganyika Packers ili watu wakumbushwe sera za 'ubinafsishaji' za ccm, na mkutano wa tatu uwe Jangwani - funga kazi.
Mijitu ya Dar ni kama sikio la kufa, utadhani imelogwa na magamba. Walijazana nyumbani kwa Mtemvu kula wali wa DUA leo uwaambie wajiunge na harakati? Ukombozi huu utaishia Dar but utaanzia sehemu nyingine za nchi, Lema kamanda usipoteze resources kwenda dar
 
GreatThinkers,
Maneno haya wala si ya Spencer,yamesemwa na Kamanda Lema akiwa Rocky City.
Nusu ya watumishi wao nje ya bunge lazima awakwapue,na hiyo ndiyo kazi anayofanya nchi nzima.
Vuteni subira wiki hii mtashangaa Lema ni shujaa na ni mtoto wa mjini.
Anasema CCM kwishney, kilichobaki proper coordination either kuwachoma moto au kuwazika wakiwa hai. Lengo kuwatokomeza.
Tegeni maskio ndani ya hii wiki hakika Lema nimemvulia kofia.

Peoplessssssssssssssssss

mfa maji huyo lazima atapetape!...mpeni mshahara kama mnavyompa Silaa jamani atachanganyikiwa zaidi huyo mangi msaidieni!
 
Akili zimukuruka wewe,
hivi unajua Alimpiga gepu kiasi gani Buriani???? 28,000 votes.
Unaijua Arusha vizuri kweli wewe?
Hebu tia maguu hapa Mianzini tukupe japo nyepesi nyepesi
 
Ktk mambo ambayo ccm watajutia milele ni kumwacha lema awe free role! Gatuso alicheza free role kt ya man na AC MILAN kila m2 anajua kilicholili,Ronaldo alikabwa hadi akaonekana mbuzi tu!

Hatuhitaji kuwasikitikia!
 
Wewe unachoongea kiko nyuma ya wakati, hii siyo mwaka 1995 ambako Ari ya Umma ilikuwa kubwa zaidi ya Nguvu ya Umma.
Leo hii nguvu ya Umma inatisha kama unabishi waulize wametoka juzi Arumeru,Kirumba,kiwira,Songea na Tanga

Hahahahahahahahahah, mimi nilichoongea ni ukweli mtupu, labda kile wewe wataka kutuaminisha. Teh teh.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
 
Back
Top Bottom