tanira1
JF-Expert Member
- Nov 18, 2011
- 942
- 159
acha kutokwa na mapovu kada uliyebaki wa ccm nilitaka kufahamu uenda unapepopunda ya ubongo maana bado unafikiri elimu bora ni ile ya darasani tu nitakuuliza swali dogo tu "who taught the first proffessor?" ukinijibu hili ndipo utakuwa na hualali wa kuhoji ubora na kiwango cha elimu ya lemaKwani weye ulizaliwa enzi zipi?. Chadema mnajipa maneno ya faraja ambayo nayafananisha na upepo tu, kwani si muda mrefu hamtasikika tena, mtakuwa chama mfu. Believe or not.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".