DALLAI LAMA
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 8,651
- 2,627
Wewe ni mchumiahoja imeungwa mkono nawasilisha
tumbo,lema kakunyima ukatibu ofisini kwake imekuwa shida,katu usitegemee sisi wakazi wa arusha tumchukie LEMA kwa vithrid vyepesi namna hii.
Wewe ni mchumiahoja imeungwa mkono nawasilisha
...usikasirike mkuu, nafikiri lengo lake ni umpelekee salaam aliyekutuma. kama umejituma mwenyewe basi upokee tu salaam zako, maana Raia Mwema ilikuwa na makala nyingi lakini wewe kwa mapenzi yako ukachagua hii.mbn povu linakutoka mm makala si yangu sasa chuki kwangu ya nn
Wewe ni mchumia
tumbo,lema kakunyima ukatibu ofisini kwake imekuwa shida,katu usitegemee sisi wakazi wa arusha tumchukie LEMA kwa vithrid vyepesi namna hii.
sio lazma kila uzi uchangie jf itapoteza umaarufu wake kwa post kama hzwewe ni mchumia
tumbo,lema kakunyima ukatibu ofisini kwake imekuwa shida,katu usitegemee sisi wakazi wa arusha tumchukie lema kwa vithrid vyepesi namna hii.
...kweli mkuu huyu Tedo angekaa kimya. Mbona wewe kibaraka wa Zito lakini upo kimya.Ni kweli mkuu, huyu tedo ni kibaraka wa Lema. Hana hoja bali matusi
mkuu jifunze kuwa hili jamvi linaheshimika sana yani GREAT THINKER MBN UNAKUA POOR THINKER UNASHUSHA HAZI YA JAMVI
Nenda kw msajili akifute sasa.
NIMESHAJUA TATIZO LAKO never mind
Ni kweli mkuu, huyu tedo ni kibaraka wa Lema. Hana hoja bali matusi
Laabda kakushika wewe
uwe unajiegemeza kwenye hoja juu ya lema na siasa azifanyazo za darasa la 7 na kukimbila kuleta matusi nashangaa kwann mods hawakupigi bannimekuambia nioneshe tusi nililokutukana unabaki unarukaruka kama kuku anayetaka kutaga... Si umesema nimekutukana..
unapokoment usome kwanza uzi itasaidia jamvi letu badala ya kukimbilia tu kujaza comment
...kweli mkuu huyu Tedo angekaa kimya. Mbona wewe kibaraka wa Zito lakini upo kimya.
hoja nzito unajib kwa majb mepesi mnabomoa msingi wa kuanzishwa JF
sio lazma kila uzi uchangie jf itapoteza umaarufu wake kwa post kama hz
uwe unajiegemeza kwenye hoja juu ya lema na siasa azifanyazo za darasa la 7 na kukimbila kuleta matusi nashangaa kwann mods hawakupigi ban
KWANN tumchukie lema ila tunachukia vitendo vyakeKama JF imekushindaa tokaaaa.....Nyinyi watu wenye chuki na Lema tumesha wastukia....Nyinyi ni kama nyoka tukiwaona ni kuwagonga vichwa..
I don't have price tag, and pliz mimi sio kibaraka wa Zitto. M off cdm msitake kunilink na matatizo yenu ya kipuuzi.