Lema, nakuomba ubadilishe muelekeo wa siasa za Arusha

mh LEMA AMEKOSA POLITICAL LEGITIMACY KUWASEMEA WATANZANIA KWANI AMESHAPROVE SEVERE POLITICAL FAILURE KILA AKIPANUA MDOMO ANAHARIBU REPUTATION YAKE KWA SPEED 100000000KM PER SEC
 
mh LEMA AMEKOSA POLITICAL LEGITIMACY KUWASEMEA WATANZANIA KWANI AMESHAPROVE SEVERE POLITICAL FAILURE KILA AKIPANUA MDOMO ANAHARIBU REPUTATION YAKE KWA SPEED 100000000KM PER SEC

Tukupuuze tu wewe...Huenda virusi vya Kapuya vipo kichwani kwako..
 
Lema atawaumiza ccm awamu hii. Kila wakati vichwa vinamuwaza Lema.

Lema ndiyo habari ya mjini
...Mkuu Mungi. Lema ana akili nyingi mpaka jamaa wanamuona kichaa. Tuende nao taratibu, baadaye watajua kuwa kila alichokifanya Lema kuanzia kwa Mwigamba hadi kwa Zitto kilikuwa lazima kifanyike vile kilivyofanyika. njia nyingine yeyote ya "kistaarabu" isingetoa ukweli usio na mashaka - tukajua kumbe Masikini mkulima ni Mwigamba? wanaishia kuandika makala dhaifu eti Zito anafuatilia pesa za Uswis. Hivi Zitto ana uwezo kuzidi TISS? au TISS na CCM ndo wamempa dili. ana umaarufu gani huyu ambaye alinunuliwa na DOWANS, bila aibu akaanza kuitetea eti serikali inunue mitambo yake. serikali iliposhindwa kesi ya "kichina" akashangilia kiaina. Mnafiki mkubwa huyu anayelindwa na TISS na CCM. wapambanaji wanamwagiwa tindikali, wanang'olewa kucha, meno macho na wengine kuuwawa. Yeye eti kuna watu wanashtakiwa kutaka kumgaidi? Ni kweli ni mpambanaji dhidi ya CHADEMA, lakini atashindwa kwa nguvu za Allah! maana Allah hapendi wanafiki?
 
...mkuu mungi. Lema ana akili nyingi mpaka jamaa wanamuona kichaa. Tuende nao taratibu, baadaye watajua kuwa kila alichokifanya lema kuanzia kwa mwigamba hadi kwa zitto kilikuwa lazima kifanyike vile kilivyofanyika. Njia nyingine yeyote ya "kistaarabu" isingetoa ukweli usio na mashaka - tukajua kumbe masikini mkulima ni mwigamba? Wanaishia kuandika makala dhaifu eti zito anafuatilia pesa za uswis. Hivi zitto ana uwezo kuzidi tiss? Au tiss na ccm ndo wamempa dili. Ana umaarufu gani huyu ambaye alinunuliwa na dowans, bila aibu akaanza kuitetea eti serikali inunue mitambo yake. Serikali iliposhindwa kesi ya "kichina" akashangilia kiaina. Mnafiki mkubwa huyu anayelindwa na tiss na ccm. Wapambanaji wanamwagiwa tindikali, wanang'olewa kucha, meno macho na wengine kuuwawa. Yeye eti kuna watu wanashtakiwa kutaka kumgaidi? Ni kweli ni mpambanaji dhidi ya chadema, lakini atashindwa kwa nguvu za allah! Maana allah hapendi wanafiki?
hapo kwny red kuwa makini
 
I don't have price tag, and pliz mimi sio kibaraka wa Zitto. M off cdm msitake kunilink na matatizo yenu ya kipuuzi.
...matatizo ya kipuuzi ndo yanakufanya ushinde na keyboard kutw kucha? basi bila shaka na wewe ni mpuuzi usiyejielewa,
 
kuna mambo huitaji itifaki ni kuyavuruga tu umeshawahi jiuliza kwa nini YESU alipindua meza na Viti kule hekaluni kataka mazingira yale ile ndio hekima ya pale
 
Lema tumeshamuweka kwenye shortlist ya watu ambao hawatakanyaga tena bungeni baada ya 2015.
 
Hivi Kapuya kubaka katoto cha miaka 14 alikuwa ana akili timamu...? Basi kama alikuwa na akili timamu CCM wote ni matahira......

CCM imelaaniwa laana za kila namna..

Kapuya kwa mabint hana tofauti na dr slaa.
 
Kama mleta mada una uchungu na mabadiliko nenda hata CHAUMA,DAILY LEMA anakuumiza kichwa,na huyo CHAALI wa uskochi mwambie aje kupambana live sio kwenye mitandao kama ana uchungu na nchi hii,sio anakula kuku huku tukiathiriwa na mabomu ya machozi ya polisi dhalimu

Wewe kweli umeshindwa kuona mantiki aliyotoa mtoa mada ama una lako jambo? Hivi mtu mwenye uchungu na nchi hii lazima arudi aishi Tz, mbona kuna mama waziri wa Uingereza alikuwa na uchungu na Tz hata akawa tayari kupoteza cheo chake kwa kusimamia Tz wanarudishiwa ''chenji ya rada'' Acha zako hizo, Kilombero wanatoka ''great thinkers'' unasema nini wee munthu. Unachezea IFOZA.
 
Kama mleta mada una uchungu na mabadiliko nenda hata CHAUMA,DAILY LEMA anakuumiza kichwa,na huyo CHAALI wa uskochi mwambie aje kupambana live sio kwenye mitandao kama ana uchungu na nchi hii,sio anakula kuku huku tukiathiriwa na mabomu ya machozi ya polisi dhalimu

Wewe kweli umeshindwa kuona mantiki aliyotoa mtoa mada ama una lako jambo? Hivi mtu mwenye uchungu na nchi hii lazima arudi aishi Tz, mbona kuna mama waziri wa Uingereza alikuwa na uchungu na Tz hata akawa tayari kupoteza cheo chake kwa kusimamia Tz wanarudishiwa ''chenji ya rada'' Acha zako hizo, Kilombero wanatoka ''great thinkers'' unasema nini wee munthu. Unachezea IFOZA.
 
Nathubutu kusema kua ,endapo watu wangezielewa na kumuunga mkono MBunge G.Lema ,basi nchi hii ingeshakua na ukombozi kutoka kwa mafisadi siku nyingi. Nasema haya ningizingatia yafuatayo;

1. Lema kama kiongozi anafanya siasa zake bila kuogopa mtu fulani ,cheo alicho nacho mtu ,au kujali maslai yake binafsi .Anayesisitiza watu kutokua nauwoga wa aina yeyote katika kutafuta haki .Nanukuu kauli zake mbili anazopenda kuhimiza watu 'HAKI YA MTU HAIOMBWI HATA SIKU MOJA ' ' HAKUNA ZAMBI KUBWA DUNIANI KAMA ZAMBI YA UWOGA' . Anafanya siasa za kutoogopa ,ambazo wengi mnazichukulia ni fujo na kukurupuka ,na huko ndiko nnakokuita kutoelewa siasa za Lema .

2. Lema anafanya siasa za kutokata tamaa ,siasa zenye kuonyesha lengo moja la kutokata tamaa na ukombozi wa nchi hii hususani wananchi wa tabaka la chini. Tujikumbushe mwaka 2005 aliposhindwa uchaguzi kwa dhuluma kupitia TLP alifanaya kampeni za kutafuta ukombozi , hakukata tamaa baada ya kushindwa lakini aliendelea na mapambano hayohayo ya kuhubiri ukombozi na mwaka 2010 akatangazwa mbunge . Alipo kua mbunge ,walimvua ubunge kwa kesi za mabambikizo , lakini alipokua mbunge hakuonyesha kukata tamaa na kukaa chini ,bali aliendelea na mapambano kwa nguvu zote . Huyu si mbunge wa kukata tamaa .

3. Lema anafanya siasa zenye kiu , kiu ya kuona tabaka la chini linainuka , kiu ya kuona watu wenye hali duni wanaishi maisha standard .. na ndio maana watu wengi wa tabaka la juu hawazielewi siasa zake , na kumuona ni mbunge wa fujo na vurugu.

NB: LAITI SIASA ZA LEMA WANGEZIELEWA WATU WENGI BASI ,MABADILIKO YA NCHI HII YANGEKUWA MEPESI SAANA .
 
Kweli kabisa mkuu lakini utashangaa vijana wa Lumumba buku 7 wataingia hapa na kuanza matusi na yule jamaa naona wamesha msajili na pasco rasmi...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom