Lema na kundi lake wanatafuta kura za huruma

Manespaa ya Moshi inaongozwa na chadema na hakuna kipindupindu pamoja na kwamba ilani inatekelezwa ya CCM. usipotoshe watu wewe, ni mwiko wacha mbunge wao pia awe wa CDM

huwezi kulinganisha moshi na mji wowote hapa tanzania hata hali ya hewa. Moshi na maeneo yote ya mkoa wa kilimanjaro watu wanakunywa maji bila kuyachemsha na hawaugui magonjwa kama typhoid ila maeneo mengine thubutu!
 
Lema ni Mbunge anayesubiria kuapishwa tu...... Monaban aendelee na shughuli zake tu.
 
Semeni yote,kwetu sisi lema atosha mwingine wa nini? Mgawa unga hamna mahali atatoboa.
 
Jikusanyeni CCM wote na Rais wa NEC mje mfanye kampeni ila Lema ni mbunge wa Arusha na wewe mleta hoja kama upo Lumumba au TISS mjue hapa kura haziibiwi wala Lema hahitaji kura za huruma kutoka kwenu ni uamuzi wetu sisi wapiga kura.

Halafu wewe ujue si mtu wa Arusha ni mbea fulani tu MAZAKO.
 
Hizi mada za Lema mbona nying humu hampati usingzi nini.
Na tutampgia kura zatutosha dadeki...
Viva Lema, viv Ukawa
 
Back
Top Bottom