Lema kuwataja waliomteka Dk. Ulimboka leo Ilala Bungoni

Huo mkutano haujaisha tu,mbona magwanda mko kimya, sasa hayo majina yako wapi? Kama ni Pinda mbona alisha tajwa humu JF. Huyu lema bora awe anapitia JF kuliko huko kijiwe cha mipasho facebook.
 
Pamoja sana kamanda Lema,nasikitika sana kwa wapuuzi wachache wasio na ulewa ama kwa kuendekeza njaa wanachukua posho kwa Nape halafu wanakuja na hoja za kijinga tena dhaifu sana.Hivi wewe ni nani umbeze kamanda Lema wakati mwenyekiti wenu wa chama JK ananywea mziki wa Lema,hivi una mjua au unamsikia?siku moja nenda ukamsikilize akiwa jukwaani kisha utakuja kujua maana.huyo ni God gifted,usipime kabisa,na huyo ni mpigania haki wa ukweli,sio wa kusome wala wa ku-pritend,na moja ya vijana jasiri sana na ni moja ya mtu mwenye kishawishi ndio maana JK alimtafuta akakaa nae chemba akimuomba atumikie CCM,nae kamanda Lema alikataa,pamoja kumpa ahadi nyingi mara za kuwa balozi ulaya,mara ukuu wa wilaya bado kamanda Lema aligoma na akamwambia yeye anagombea CDM ili akawatumikie wananchi,akashiriki kwenye chama chenye kuleta ukombozi wa nchi na watu wake,leo anapotokea mtu anabmbeza Lema mimi namuona ni punguani na wala hajui kitu.
Tuko pamoja kamanda Lema
 
big up mkuu. CCM ni majuha.
 
Kazungumza mambo mengi mno ikiwemo ufisadi wa kina mkapa,jk,rostam akamzungumzia na kulakulala nape na mwisho wa mchezo tulikuwa tunalikwamua gari letu la mapambano lilinasa na kulikuwa na ubishani na wajinga flan wa kafu tukawaelimisha pale na kamanda mgwendu kama sikosei
 
531242_10150903819668333_1576584805_n.jpg

vilaza wa nyerere....akili zime stop alipondoka
 
Sasa kusema kuwa Pinda aongezwe kwenye list ndiyo kutema cheche huko? Hayo si mashambulizi ya kawaida tu kwenye siasa? Angekuwa na jeuri si angekuwa specific kwa kuwataja wale watu 5 waliokuwa kwenye Escudo.

Hapa JF pinda ametajwa kwa kujificha jificha lakini leo Lema amemtaja mbele ya camera za waandishi wa habari na mbele ya wanausalama.
Kwanza amezungumzia vitisho wanavyopata viongozi wa Chadema kutothubutu kuzungumzia swala la Dr. Ulimboka.
Pili akarejea kauli yake maarufu ya heri vita inayotafuta haki kuliko amani inayopumbaza na kudhalilisha utu wa mwanadamu.
Tatu akasema wao viongozi wa Chadema hawako tayari kunyamazishwa kwa vitisho na yeye binafsi yuko tayari kufa kwa kuusema na kuusima ukweli.
Ndipo sasa akamalizia kwa kutaja wahusika wawili, ambao ni Pinda na Msangi. Waliobaki watatajwa tu muda muafaka utakapofika.
 
Huo mkutano haujaisha tu,mbona magwanda mko kimya, sasa hayo majina yako wapi? Kama ni Pinda mbona alisha tajwa humu JF. Huyu lema bora awe anapitia JF kuliko huko kijiwe cha mipasho facebook.

kwa hiyo mambo yakisha semwa jf hayapaswi kusemwa tena jukwaa, mbona mzinzi wenu alienda kuyasemea bungeni..
 
Hapa JF pinda ametajwa kwa kujificha jificha lakini leo Lema amemtaja mbele ya camera za waandishi wa habari na mbele ya wanausalama.
Kwanza amezungumzia vitisho wanavyopata viongozi wa Chadema kutothubutu kuzungumzia swala la Dr. Ulimboka.
Pili akarejea kauli yake maarufu ya heri vita inayotafuta haki kuliko amani inayopumbaza na kudhalilisha utu wa mwanadamu.
Tatu akasema wao viongozi wa Chadema hawako tayari kunyamazishwa kwa vitisho na yeye binafsi yuko tayari kufa kwa kuusema na kuusima ukweli.
Ndipo sasa akamalizia kwa kutaja wahusika wawili, ambao ni Pinda na Msangi. Waliobaki watatajwa tu muda muafaka utakapofika.

mkuu mwita big up kwa kutupatia habari hii.
nashauri uanzishe thread mpya juu ya hawa wauaji wawili waliotajwa na Lema ili watu wengi waisome.
 
Last edited by a moderator:
Hapa JF pinda ametajwa kwa kujificha jificha lakini leo Lema amemtaja mbele ya camera za waandishi wa habari na mbele ya wanausalama.
Kwanza amezungumzia vitisho wanavyopata viongozi wa Chadema kutothubutu kuzungumzia swala la Dr. Ulimboka.
Pili akarejea kauli yake maarufu ya heri vita inayotafuta haki kuliko amani inayopumbaza na kudhalilisha utu wa mwanadamu.
Tatu akasema wao viongozi wa Chadema hawako tayari kunyamazishwa kwa vitisho na yeye binafsi yuko tayari kufa kwa kuusema na kuusima ukweli.
Ndipo sasa akamalizia kwa kutaja wahusika wawili, ambao ni Pinda na Msangi. Waliobaki watatajwa tu muda muafaka utakapofika.

Aliposema kuwataja mkambeba mkafurahi usiku leo mnalala?? ama

Lema taja mwanangu ongeza perdiems zako kesho tena nenda mwemba yang kawataje...

Ongeza pesa mwanangu..
 
Pia amezungumzia ziara operation kusini.
Amesema waziri wa mambo ya nje Bernard Membe aliwaambia kwamba Serikali ya umoja wa kitaifa zanzibar (SUK) ni dhaifu sana na haina uwezo wa kutekeleza sera zilizopo za maendeleo, kutokana na kuwajumuisha watu wa cuf.
Pia amesema viongozi wakuu wa cuf waliposhindwa kukabiliana na propaganda za ccm ndipo wakaamua kuingia muafaka na ccm bila kuwashirikisha wanachama wa cuf, matokeo yake sasa chama chao kimekufa huku viongozi wake wakiwa wametulia serikalini.
 
Mbona mnachanganya madawa adui wenu ni CUF au CCM?

Mnaongelea dr.ulimboka au maendeleo yenu cdm??

Which is which?? au ile kila habari lazima mdandie kwa mbele

Chadema mnatamani sana nafasi ya CUF lakini ndiyo hivyo tena??
 
nashukuru Lema amewataja waziwazi Mizengo Pinda na ACP Msangi.
sasa sijui tume yao inapeleleza nini wakati wenyewe ndio waliohusika.
 
Aliposema kuwataja mkambeba mkafurahi usiku leo mnalala?? ama

Lema taja mwanangu ongeza perdiems zako kesho tena nenda mwemba yang kawataje...

Ongeza pesa mwanangu..

Ha ha haa Topical upo swahiba.
Lema amewafunulia ukweli wanacuf wenzako namna viongozi wenu wa juu walivyowauza wanachama na kukiua chama kwa ndoa ya mkeka dhidi ya ccm.
Baada ya mkutano wanacuf wamebaki uwanjani wakitafakari ukweli mchungu walioupata kutoka kwa kamanda Lema, na baadhi yao wamejiunga na Chadema.
 
Last edited by a moderator:
Mbona mnachanganya madawa adui wenu ni CUF au CCM?

Mnaongelea dr.ulimboka au maendeleo yenu cdm??

Which is which?? au ile kila habari lazima mdandie kwa mbele

Chadema mnatamani sana nafasi ya CUF lakini ndiyo hivyo tena??

Waziri Membe alikiri kwamba cuf ni ccm-b, kwahiyo hivyo ni vyama viwili ambavyo huwezi kuvitenganisha.

Ni vizuri ukumbuke kuwa Chadema inawahitaji watu kutoka pande zote za nchi na kutoka vyama vingine vya siasa.
Na kwa kitendo cha viongozi wenu wa cuf kukiuza chama chenu kwa tamaa ya madaraka, mjiandae kufanya hitma sasa.
 
Kuna picha ya bekham,beyonce,ronaldo jitahidi uziweke hapo kamanda
 
Waziri Membe alikiri kwamba cuf ni ccm-b, kwahiyo hivyo ni vyama viwili ambavyo huwezi kuvitenganisha.

Ni vizuri ukumbuke kuwa Chadema inawahitaji watu kutoka pande zote za nchi na kutoka vyama vingine vya siasa.
Na kwa kitendo cha viongozi wenu wa cuf kukiuza chama chenu kwa tamaa ya madaraka, mjiandae kufanya hitma sasa.

Aisee interesting kwa hiyo CUF ikifa ndio mnafurahi na siyo CCM?

Watanzania wanahama vyama kila siku inategemea...juzi CUF tulivuna wanachadema kigoma..

Life goes on, lakini kumbuka sisi tuko serikalini tutafuta Tangayika kwa kasi
 
Mbona mnachanganya madawa adui wenu ni CUF au CCM?

Mnaongelea dr.ulimboka au maendeleo yenu cdm??

Which is which?? au ile kila habari lazima mdandie kwa mbele

Chadema mnatamani sana nafasi ya CUF lakini ndiyo hivyo tena??

Unachekesha kweli mkuu.CDM ni wa kutamani nafasi ya kuolewa na kuwa mke ilihali ni wanaume Rijali?
 
Nasikia mmeanza kuwa kimada tangu mlipoanza kwenda iikulu kunywa juice, siku hizi kila mkutano lazima muhitaje CUF
 
Aisee interesting kwa hiyo CUF ikifa ndio mnafurahi na siyo CCM?

Watanzania wanahama vyama kila siku inategemea...juzi CUF tulivuna wanachadema kigoma..

Life goes on, lakini kumbuka sisi tuko serikalini tutafuta Tangayika kwa kasi

Hakuna mwana CDM wa kweli anayeweza kujiunga chama kinachokata roho chenye wabunge wawili Tanganyika nzima.Mmezidiwa hata na NCCR? Ni ukweli ulio wazi chama cha Tatu chenye nguvu Tanganyika baada ya CDM na CCM ni NCCR.
 
Back
Top Bottom