toka lini jambazi akaweza siasa? Kama ni jembe lenu kweli basi hamna watu.
Majambazi ni wale walioua Igunga, Usa, na wanaendelea kuteka watu wanaotofautiana nao hao ni watu dhaifu.
toka lini jambazi akaweza siasa? Kama ni jembe lenu kweli basi hamna watu.
Leo Jumamosi, Juni 30, aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Lema, atakuwa na mkutano wa hadhara Ilala Bungoni.
Vyanzo vyangu vya habari, kutoka karibu na Lema vinasema kuwa leo atalipuka sana. Mojawapo ya masuala atakayolipua ni kuwataja vigogo/kigogo waliohusika katika suala la Dkt. Ulimboka.
Jamani wenzetu wa habari, sijui vyombo vingapi viko maeneo hayo, mtupatie taarifa hizi mapema iwezekanavyo kama ni kweli. Hatuwezi kusubiri mpaka kesho au usiku.
Nawasilisha.
Hana kazi huyu pimbi!
jambawazi na siasa wapi nawapi? Ubabaishaji mtupu
\anaingilia uhuru wa jeshi la polisi, wacha naye atulie huku tukimwomba mungu amponyeshe mapema dr. Ulli aje awataje waliomteka na kumuumiza.
anaingilia uhuru wa jeshi la polisi, wacha naye atulie huku tukimwomba mungu amponyeshe mapema dr. Ulli aje awataje waliomteka na kumuumiza.
bora nngezaliwa afghanstan kwenye vita kuliko huku kwenye uuaji wa wazi unaofanywa na serikali
mimi toka Mwakyembe ataje maofisa wa serikali waliokuwa wamepangwa kumuua na kutoa ushahidi wa aina ya magari na namba waliyotumia na ni nani kawapokea na ni wapi walishukia na akaweka wazi kuwa yupo tayari kuisaidia polisi zaidi kama atahitajika, sina tena imani na hii serikali anymore. Nikikumbuka pia issue ya Bilali, Zombe na kesi ya Mahanga, ni dhahiri na haki kabisa kwa serikali ya ccm kusulubiwa.
.
Matusi mbona mengi kila akiongelewa huyu mbayuwayu wa CDM?
Godbles jukwaani mkutano uko poa ila watu wa ilala wamegambikwa sana
Chadema hatuana mbayu wayu wala dhaifu....wala waanguka vifafafa
Kama Lema ame plan kufanya hivyo atakuwa kafanya kosa kubwa sana na pengine kukiweka chama ktk wakati mgumu. Hatakiwi kabisa kuingilia Upelelezi unless anao ushahidi mkononi na hata hivyo anatakiwa kuupeleka kwenye vyombo vya sheria.\
hivi watanzaia uelewa wetu wa mambo upoje???
kama atawataja atakua anaingilia kazi za polisi au ndo anazirahisisha???
kama polisi imeunda tume ya uchunguzi manake inahitaji source za information.
sasa kama mtu ame/atataja hao wahusika c ndo amarahisisha?? ni kiasi cha polisi
kumuona atoe uhakika wa habari tuwapate hawa majambazi.
Juzi tu hapa polisi wa kimataifa "interopl" waliibua akaunt
ziznazosadikiwa kua za watatzania nchini uswiss zikiwa na mabillion ya fedha
zinazodaiwa kuibwa toka kwa watanzania.
wonders, wabongo tukasema eti interol ni wanafki "kwa nini hawakuwataja" hao
wahusika?? ths z F Kin. kazi ya polisi ni nini sasa? Takukuru?? usalama wa taifa??
au kazi zao ni kusapot huu wizi.