Lema kuwataja waliomteka Dk. Ulimboka leo Ilala Bungoni

Uhuru wa polisi ni kitu gani?
Au una maanisha nini?

Kufanya jambo lolote watakalo?

Umetoa wapi hicho kifungu cha Uhuru wa Polisi? Au ndo sheria za uvunguni ambazo Gaidi Kova huwafunza vijana wake??

anaingilia uhuru wa jeshi la polisi, wacha naye atulie huku tukimwomba mungu amponyeshe mapema dr. Ulli aje awataje waliomteka na kumuumiza.
 
Lema pia alisema wakati wapo lindi walikutana na membe membe akawaambia akuwahi kuona serikali ya kipuuzi kama hii ya jamaa aliyefanana nae ushaidi anao wa dvd.
 
Nimekuelewa kwakuwa uamsho hawataki muungano chadema pia hawataki muungano..OK asante kwa clarification

OK msije kabisa Zanzibar msipoteza muda wenu bure..si zanzibar ni kama arusha??

oops kweli huko cdm kuna viazi..
Hatuwezi kuja huko nchi jirani,maana tusije tukaolewa na magamba kama mwenzetu ulivyoamua kujisalimisha....
 
Usitumie lugha kama hii ndugu yangu. vita ni mbaya , mbaya, mbaya sana Mtanzania mwenzangu. Omba Mungu aepushe nchi isifike huko. Ogopa vita, Ogopa njaa. Omba Mungu tusifike huko

Mkuu Donyo. Hakuna asiyependa AMANI na UTULIVU.
Kinachopingwa hapa ni pale amani hiyo inapotumika kuwaneemesha waovu, wezi wa rasilimali za nchi na wauaji ama watesi wa wananchi wanyonge (hasa wale wanaotetea haki za wanyonge).
Kila amani inapotetewa na kundi la hawa waovu, lengo lake ni kuweka mazingira ya utulivu ili wasipingwe wala kuzuiwa kuendeleza dhuluma zao.
Kwa hiyo wastaarabu na wanaoitakia nchi hii mema watatafuta namna ambayo AMANI itatokana na Uwajibikaji wa watumishi wetu, kupatikana kwa haki ya kila mmoja wetu na kuadhibiwa kwa kila mkosaji bila kujali nasaba yake.
 
haliwezi kuwa jembe kwani hiyo nijuavyo mimi jembe ni alama ya ccm
 
Lema.JPG

Lema kutamka kwamba atawataja waliohusika na mkasa wa Ulimboka, kwa akili ya kawaida tu mtu huwezi kufanya hivyo kwa sababu za kiintelijensia, ambapo hana uthibitisho wa watu hao kwa kuwa ilifanyika kwa siri, na pengine huhitaji muda ili kwani uchunguzi bado unaendelea na kufanya hivyo kunaweza kuingilia shughuli za uchunguzi, hapo busara ni kapa.
Lema hahusiki moja kwa moja na mgomo wa Madaktari, na hapo kwa busara ya kawaida tu hana sababu ya kuitisha maandamano kwa ajili ya madaktari. Hicho ni kipimo moja wapo kwa Lema kama anafikiri kwanza kabla ya kutoa tamko hadharani au ni shauri ya kuhamasisha hadhara. Siasa si hamasa tu siku hizi ni sayansi zaidi.
 
Lema.JPG

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Bw Godbless Lema,
akizungumza na wafanyabiashara wa soko la Mchikichini Manispaa ya Ilala Dar es Salaam juzi,
wakati wa Kampeni ya Ondoa CCM Dar es Salaam,
ambapo pia chama hicho kilitoa tamko la kufanya maandamano ya kuunga mkono mgomo wa madaktari nchi nzima.

Lema kutamka kwamba atawataja waliohusika na mkasa wa Ulimboka, kwa akili ya kawaida tu mtu huwezi kufanya hivyo kwa sababu za kiintelijensia, ambapo hana uthibitisho wa watu hao kwa kuwa ilifanyika kwa siri, na pengine huhitaji muda ili kwani uchunguzi bado unaendelea na kufanya hivyo kunaweza kuingilia shughuli za uchunguzi, hapo busara ni kapa.

Lema hahusiki moja kwa moja na mgomo wa Madaktari, na hapo kwa busara ya kawaida tu hana sababu ya kuitisha maandamano kwa ajili ya madaktari. Hicho ni kipimo moja wapo kwa Lema kama anafikiri kwanza kabla ya kutoa tamko hadharani au ni shauri ya kuhamasisha hadhara. Siasa si hamasa tu siku hizi ni sayansi zaidi.
 
Lema ni kamanda msifikiri na yeye mnaweza kumteka..hivi sasa kila mtu atakua anatembea na kisu..ili tujihami na utekaji

Hana ukamanda wowote, muulize alipokuwa mahabusu alifanywa nini, mbona huwa hasemi? hana ujanja wowote zaidi ya kuwa kibaraka wa mbawa ambaye ndo kisemeo chake yeye na siyo vinginevyo. Halafu ohhhhhhhhh demokrasi shame on you purppets of mbawa
 
Jela hukaa watu tena wapigania haki na Wanaume wa shoka, inaonekana wewe unaogopa jela ila wizi unaiba sana, siku yao ipo inakuja subiri, kiswahili chenyewe shida njaa inakusumbua sasa Mbawa ni nini?~~
 
Yes Lema keep more pressure, ili tume ya chongo kova iwe makini.Wajaribu wapunguzia wauaji makali ila si kuficha kosa
 
Jela hukaa watu tena wapigania haki na Wanaume wa shoka, inaonekana wewe unaogopa jela ila wizi unaiba sana, siku yao ipo inakuja subiri, kiswahili chenyewe shida njaa inakusumbua sasa Mbawa ni nini?~~

Mwenye njaa ni wewe, akili nyembamba imejaa ushabiki badala ya hoja. kiswahili changu makini ila umeshindwa kubaini maana.
 
Back
Top Bottom