Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

-
DSC00031.JPG

Hawa ndo waliofungua kesi

Hawa watu mbona sura zao kama wanaenda kunyongwa vile?
 
Tetesi eti wamekata tena rufaa.

Mkuu wafanye haraka, ila cjui watapeleka mahakama gani tena? maana wakili wao alipinga rufaa ya Lema. Walipoona hiyo rufani haiwezi kutupwa nao wakakata rufaa kuwa Jaji Rwakibarila alitupilia mbali baadhi ya hoja zao muhimu.
So nathani hoja zote ziliangaliwa simultaneously.
 
Ukweli haupingiki, japo utacheleweshwa, na usumbufu na udhalilishaji mwingi leo tunamshukuru Mungu amerejesha furaha ya wengi na haki imetendeka japo kwa usumbufu mwingi. tunawaomba hawa magamba watuache Arusha tumechoka kusumbuliwa, waache tupate raha na mbunge wetu jamani.

CHadema Inaweza kuongoza. Hongera Chadema, Hongera Mbunge wetu mh. Lema
 
Wajameni,

Ni muda mrefu umepita kuushuhudia umati mkubwa kama huu."There are currently 3660 users browsing this thread. (1140 members and 2520 guests)"

Ukiangalia idadi ya members na wasio members, wasio members ni mara mbili ya members, hii inamaanisha jf, inatembelewa zaidi na wasio members kuliko hata members, hivyo this jf is very powerful media!.

Asante kwa hukumu hii ya Lema, leo imetuunganisha na long lost friends tuliopotezana nao kipindi kirefu nyuma!. Kwa maoni yangu, kile kidole Lissu alichounyooshea mhimili huu wa mahakama pia itakuwa imechangia angalau kwa mahakama kuu ya rufani kuwathibishia Watanzania kuwa kuna wakati, wanaweza kutoa uamuzi wa haki!. Sijui kwenye ile kesi ya mgombea binafsi, walishikwa na kigugumizi cha nini!.

Kuna kiongozi mmoja mkuu tuu, alifurahia Lema kuvuliwa ubunge, kwenye mkutano mmoja wa kimaifa uliofanyika mjini pale AICC, alijitapa,"afadhali sasa Arusha imetulia, hata mikutano kama hii imeweza kuja Arusha na watalii sasa wanarejea!. Wito kwa Lema, Chadema na wafuasi wao, "msibweteke na ushindi huu, bali uchukulieni kama changamoto kuelekea 2015!. Chadema lazima ibadilike na kufanya siasa za ukweli na sio siasa za ushabiki wa kushangiliwa na umati wa watu kwenye mikutano au maandamano!.

The politics of confrontations will not get you anywhere!. Chadema must practice real and true politics, hizi ni "resiponsible politics" zenye malengo, mipangi mkakati na work plan ya utekelezaji, na sio "politiking siasa za majukwaani tuu na maandamano!. 2015 sio mbali, Chadema isipobadilika na kujipanga vizuri, 2015 ni CCM Tena!.

Hongera sana Lema, Hongera Chadema, mtihani ni 2015!.

Pasco.





real JF ipo juu.
 
Jibu hoja wewe!!! Uko nje ya mada.... Au kama unataka nitukane kwa kuni-pm badala ya kuongea vitu binafsi kwenye uzi. Unajiaibisha bure.

garbage in garbage out

sijawahi kujibu hoja za kijinga na kipuuzi ... and i will not reply to any foolishness and what so ever
 
Hakika hakuna mtu yeyote aliye juu ya Mungu kwani huu ni ushindi wa Taifa zima.

BRAVO LEMA.
VIVA CHADEMA.
VIVA TANZANIA.
 
Good news that the Blessed man called Godbless won the case, congratulations Godbless, your wife, Chadema, M4C, Members and all supporters. You are all Blessed.
 
Be specific...... Aliyeripoti taarifa hii alikuwa akituletea ujumbe jinsi mahakama ilivyosema.... Je, katika hukumu ya mahakama ya rufaa, kuna sehemu CCM wameamriwa kulipa gharama? Na je, na hao kina mama wanaiwakilisha CCM ama ni wake zake makamba walikuwa wanamuwakilisha?Kwenye hati ya mashitaka CCM ndo walikuwa walalamikaji? Na kwa nini unamtaja Makamba? Kuwa realistic!!! Sema ama ripoti kama statement ya hukumu inavyosema na acha kupotosha umma ama kutuaminisha kitu ambacho hakipo!!!! Ina maana hayo maneno unayosema ya chuki kwa mfano, unataka niamini ukisema wewe na mkeo kayasema hayohayo? Nitakuwa niko sahihi????? Think twice acheni chuki na CCM inayowalea mpaka sasa mnapata nguvu za kuitukana.
Ndugu yangu MaliNyege polevsaana, ndo politics hizo. Kumbe kuna watu walilelewa CCM? Duh, kivipi? Kwani CCM ina vituo vya orphanage? Sijawahi sikia hili kabisaa!
 
Back
Top Bottom