Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

ccm my foot ... koma kabisa wewe bolizozo, kama unalelewa na ccm its your dam punishment

i will never ever in my life put an eye view on ccm .... come rain come sun ccm is useless in my daily life

Jibu hoja acha kutukana. Ndo mnataka mpewe nchi watu wenyewe hata uwezo wa kufikiri hamna... Jazba kwa kwenda mbele.. Si mtawanyonga watu hata bila kuwafikisha mahakamani ninyi... Lo! Poleni sana.
 
Njia ya mwongo ni Fupi Aibu yao CCM :majani7: Karibuni kwa Mbizi na kilaji = CDM hoyeeeeee:target:
 
Jibu hoja acha kutukana. Ndo mnataka mpewe nchi watu wenyewe hata uwezo wa kufikiri hamna... Jazba kwa kwenda mbele.. Si mtawanyonga watu hata bila kuwafikisha mahakamani ninyi... Lo! Poleni sana.

mwaka wenu huu wachumia tumia tumbo.

Lema huyo mjengoni............!
 
Duuu hii thread ni ndefu balaa kweli. kama waswazi wasemavyo mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni, Bravo Kamanda Lema ...Aluta continua.
 
Arusha ni mji wa Kimataifa kwa jinsi , Mungu alivyoumba na Hali ya hewa na juhudi za watu wqke kujiteletea maendeleo, hivyo ni lazima DEMOKRASIA itawale na si pesa wal mamlaka zisizofuata utawala bora. Angalau leo Mahakama ya Rufaa Tz imerudisha heshima ya mji na watu ka kiongozi wao
 
Jibu hoja acha kutukana. Ndo mnataka mpewe nchi watu wenyewe hata uwezo wa kufikiri hamna... Jazba kwa kwenda mbele.. Si mtawanyonga watu hata bila kuwafikisha mahakamani ninyi... Lo! Poleni sana.

kulelewa na ccm ndiyo hoja

poor and very low of your IQ

i wish you all the best in enjoying the looted national weath but days are numbered
 
"wao wanafedha sisi tuna mungu" chezea mungu wewe!!!!! Saa ya ukombozi ndo sasa, cdm huwa wanashinda peupeeee........... Hao vidudu m2 ccm mpaka giza ndo washinde, na wapenda giza ni wana wa uovu. Shame on all ccm members with their stupid plans over rightous people!!!!!
 
Zitto naskia ulifurahi sana kipindi lema alipovuliwa ubunge na kufanya sherehe mliman city? Source mauya
 
Last edited by a moderator:
Wajameni,

Ni muda mrefu umepita kuushuhudia umati mkubwa kama huu."There are currently 3660 users browsing this thread. (1140 members and 2520 guests)"

Ukiangalia idadi ya members na wasio members, wasio members ni mara mbili ya members, hii inamaanisha jf, inatembelewa zaidi na wasio members kuliko hata members, hivyo this jf is very powerful media!.

Asante kwa hukumu hii ya Lema, leo imetuunganisha na long lost friends tuliopotezana nao kipindi kirefu nyuma!. Kwa maoni yangu, kile kidole Lissu alichounyooshea mhimili huu wa mahakama pia itakuwa imechangia angalau kwa mahakama kuu ya rufani kuwathibishia Watanzania kuwa kuna wakati, wanaweza kutoa uamuzi wa haki!. Sijui kwenye ile kesi ya mgombea binafsi, walishikwa na kigugumizi cha nini!.

Kuna kiongozi mmoja mkuu tuu, alifurahia Lema kuvuliwa ubunge, kwenye mkutano mmoja wa kimaifa uliofanyika mjini pale AICC, alijitapa,"afadhali sasa Arusha imetulia, hata mikutano kama hii imeweza kuja Arusha na watalii sasa wanarejea!. Wito kwa Lema, Chadema na wafuasi wao, "msibweteke na ushindi huu, bali uchukulieni kama changamoto kuelekea 2015!. Chadema lazima ibadilike na kufanya siasa za ukweli na sio siasa za ushabiki wa kushangiliwa na umati wa watu kwenye mikutano au maandamano!.

The politics of confrontations will not get you anywhere!. Chadema must practice real and true politics, hizi ni "resiponsible politics" zenye malengo, mipangi mkakati na work plan ya utekelezaji, na sio "politiking siasa za majukwaani tuu na maandamano!. 2015 sio mbali, Chadema isipobadilika na kujipanga vizuri, 2015 ni CCM Tena!.

Hongera sana Lema, Hongera Chadema, mtihani ni 2015!.

Pasco.




 
kulelewa na ccm ndiyo hoja

poor and very low of your IQ

i wish you all the best in enjoying the looted national weath but days are numbered

Jibu hoja wewe!!! Uko nje ya mada.... Au kama unataka nitukane kwa kuni-pm badala ya kuongea vitu binafsi kwenye uzi. Unajiaibisha bure.
 
Hongera kamanda Lema, hongera CDM
Naona nina bahati kwani nimejoin JF jana na leo napokea taarifa nzuri
Hureeee CDM na karibu sana MtumwaMwema. Lakini tahadhali; usichangie au kuleta thread yenye hisia kali saana humu, utafungiwa nakwambia, miezi mitatu! Hapa JF siyo FREE kama unavyofikiria, especially kwa NEWCOMERS. CDM hureeee n take care, CCM, cause this is just the start of the beginning. Nimetoa angalizo tu na kushangilia, so I don't think I deserve a ban!
 
Tetesi eti wamekata tena rufaa.

Wameikatia wapi Mkuu? Hukumu ya leo ndio mwisho wa reli sana sana ni kuiomba Mahakama hiyo hiyo iliyotoa hukumu ku-review hukumu yake ya awali usually chini ya Jaji Mkuu na majaji wengine sita (full bench). Narudia tena: ni ku-review tu na sio rufaa.

Otherwise, nawashauri wakatumie zile mahakama za ZZK na PM7 ambazo haziachi panya wala kunguni (a.k.a. Mahakama za Kunguni); lakini kwa kuwa Mungu yupo hizi nazo zilishashindwa.
 
Back
Top Bottom